Hivi Ukubwa wa timu ya Azam ni rasilimali au

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,366
4,901
Nijijibu mwenyewe kuwa ukubwa wa timu ya Azam UPO KWENYE RASILIMALI HASA KIWANJA, TV NA VIWANDA NA WALA SIO UWANJANI.

Uwanjani Timu ya Azam ni sawa tu na Coastal Union, Moro Utd, Mtibwa , Ruvu shooting nk
 
Ukubwa wa azam ni wenye njaa kujinufaisha maana kinachofanyika hapo.
Wachezaji ndoto zao simba na yanga.
Azam ni sehemu ya maokoto
 
mental block inawasumbua.. wawe na dira kwenye soka la bongo.. watatoboa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…