Hivi ukiwa dereva wa Noah, lazima uwe mpuuzi?

Hivi ukiwa dereva wa Noah, lazima uwe mpuuzi?

Jamani Mimi nilikuwa naendesha Noah lakini ukweli nilikuwa nashangaa madereva wengine mapaka ilifikia mahali nikawa nasema mwenyewe Kwa kujiuliza hivi hawa madereva mbona hawazoei magari wataendesha mpaka lini hivi? Mapaka sasa sijapata jibu la maswali yangu kwakweli
 
% kubwa ya hizi noah ni zakupigia madili ndiyo maana mwendo kasi wake unakuta upo hovyo hvyo!

Meno+ya+tembo&+Kamanda+(8).JPG
 
Tena zinaleta upungufu wa nguvu za kiume. Ndio maana zimejaa Rombo. 😂😂😂
 
Mimi nina noah na ninaendesha vizuri ila kinachonisikitisha ni kusimamishwa na mateja ili kupakia abiria. ... Yaani ni kama masichana mzuri kila akipita hupigiwa miluzi

sasa kinakusikitisha nini?!! unaendesha mini bus unashangaa kusimamishwa kupakia abiria!
 
mambomoto


Unaongelea Noah gari au yule mnyama kina faiza Fox wanasemaga haliwi?
 
Last edited by a moderator:
Kweli mkuu watu wenye noah ni wafujo sana,hizo shapeless cars wanavyoziendesha utafikiri wako na range rover sport.

Mimi mwenyewe naendesha Noah kama gari ya kutEmbelea,Nikikaa kwEnyE kiti naona kama nipo juu ya kiti cha Prado vile.
Nna mpango viti vya mbele niweke vya harrier ili nijisilie luxury zaidi,
Kuhusu spidi sababu unaona mbele vizuri na cc 1998 unawahi kuchanganya mwEndo.
 
Acha umbea bac
Haa haaa afadhali umejitokeza. Jirekebisheni basi jamani maana tatizo la ninyi hamna subira. Mnaharaka mno na mnapenda kukimbia ovyo, kuovertake kwa namna yoyote hata kama sehemu haifai, kuendesha karibu karibu kabisa na gari nyuma kiasi kwamba dereva wa gari akifunga breki ghafla mnajigonga nyuma ya gari. Jirekebishe na uwanye wenzako mkuu.
 
tunazungumzia noah jifunze kujadili mada iliyopo
Kwani kwenye mjadala si huwa kunakuwa na mengineyo? Nitakuwa nimekugusa nini. Kama uko upande huo basi mjirekebishe jamani! Muwe na subira mnapoendesha
 
Kipimo cha upumbavu hupatikana hata katika andiko la MTU! Acha kujumuisha watu wote kwa andiko usilo hata na ushahidi nalo kwa mfano umefanya utafiti au unaandika tu!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom