Sio lazima, na anayeweka bifu ujue domo zege anaogopa kwenda pengine ataanzaje.
Kwa majibu zaidi ya thread yako pitia pitia hii thread ya AshaDii. Ni ya zamani kidogo ila ukweli hau-expire!Hivi kina kaka,inakuaje mtu anakuwekea chuki na bifu za ajabu ajabu kisa tu umekataa kukubali ombi lake la kuwa wapenzi?? Acheni hayo mambo,ukitongoza si lazima ukubaliwe. Muelimishane
Hivi kina kaka,inakuaje mtu anakuwekea chuki na bifu za ajabu ajabu kisa tu umekataa kukubali ombi lake la kuwa wapenzi?? Acheni hayo mambo,ukitongoza si lazima ukubaliwe. Muelimishane
Imenitokea mkuu,yaani mtu nkimsalimia haiatikii...hahahaaa
Hapana,sikumkubali. Kilichokua kati yetu ni urafiki,alivyoleta hizo habari gani nkamtolea nje. Nashangaa analeta mambo ya kuuchuna
aitikie ili iwaje...sii humtaki so kila mtu na hamsini zake...y ladies mnataka kuremain frends na mwanaume uliyempiga chini? never makes sense to me...demu akinibwaga na mie wala sijisumbui na wala sitaki contact yoyote
Teh teh teh huyo mwanaume atakuwa hajielewi.....!Kwani vita hiyo,umepga sound mchicha haijakubalika bas unaangalia sehemu nyingine ingawa wakat mwingine baadh yetu pia tunawajibu vibaya mpaka anajiona hafai tena popote.
Sio vita hiyo jaman,tueleweshane tu.
Jamaa ameangalia sehem.nyingine demu aliyemkataa bado anataka wawe marafiki...anayetaka vita apo nani?
Hivi kina kaka,inakuaje mtu anakuwekea chuki na bifu za ajabu ajabu kisa tu umekataa kukubali ombi lake la kuwa wapenzi?? Acheni hayo mambo,ukitongoza si lazima ukubaliwe. Muelimishane
Aisee nadhani hili mkuu mzabzab linahitaji mjadala mpana sana...na sio tu muwe marafiki, mumaintain the previous status quo..nadhani unanisoma...sasa why that wakati mmeshabwagana? Kutakuwa na urafiki gani wakati umemmwaga mwenzio tena kwa kejeli? Hili ni fumbo kwa kweli
Urafiki si kitu cha lazima......kila mtu awe na hamsini zake.
Laaa sivyo anatafuta mengine!!!!!!!
mie nashindwa kuelewa kabisa...tayari hapo kuna conflick of interest...one wants intimacy another just friendship...ni sawa mafta yachangayike na maji...haiwezekani. better u go ur separate ways.
umeona eeh miss strong. good gal.
Hivi kina kaka,inakuaje mtu anakuwekea chuki na bifu za ajabu ajabu kisa tu umekataa kukubali ombi lake la kuwa wapenzi?? Acheni hayo mambo,ukitongoza si lazima ukubaliwe. Muelimishane