Hivi UKIMWI ni Ugonjwa?

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Ni swali la ajabu lakini lenye kuhitaji umakini kulijibu.

Mimi si daktari lakini kwa uelewa wangu juu ya UKIMWI ni Ukosefu/Upungufu wa Kinga Mwilini hivyo mtu hawezi kufa kwa Ukosefu wa Kinga bali Ukosefu wa Kinga unasababisha magonjwa kama kisukarti,mafua,kichocho nk kumshambulia mtu na hatimaye kufa.

Tuache kuunyanyapaa ukimwi jamani kwani hakuna mtu aliyedhibitika kufa kwa UKIMWI bali UKIMWI ulisababisha ashambuliwe na ugonjwa fualini kisha kufa.

Inawezekana nisieleweke
 
hakuna ugonjwa wa ukimwi.ni upungufu wa kinga mwilini baada ya hapo magonjwa ndipo yanaingia na kushambulia.ndio maana toka zamani hujasikia daktari akicoment kwamba mtu kafa kwa ukimwi.
 
Uko sahihi kabisa Rutunga

Back
Top Bottom