Hivi ukikopa benki (as mtumishi wa serikal) halafu ukaacha kazi, je unaweza ukafuatiliwa?

ttobo

New Member
Nov 18, 2017
3
7
Hivi wakuu ukikopa benki ukiwa mfanyakazi wa serikali halafu ukaacha kazi vipi utatafutwa??
 
Na mtu akikopa kwenye hizi microfinance kama bayport, platinum,na zile zngne ila sio bank afu akacha kazi au kubadil kazi kukimbia makato inakuaje atafuatiliwa
 
Waandikie barua ya maombi ya kusitisha marejesho ya Mkopo kwa kuwa makubaliano yalikuwa marejesho yapitie kwenye Mshahara na sasa huna kaziwasubiri mpaka Utakapopata kazi nyingine...............Barua yako ambatanisha na barua ya Kuachishwa/ Kufukuzwa kazi..............Nadhani ITAPENDEZA.............!!!! maswala ya Akiba yako ya Uzeeni siyo makubaliano yenu................!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…