Kama hujui kaa kimyaCjui mkuu,ngoja wataalam wengine waje
Na ww mbona hukukaa kimya na jibu hujatoa,...akili za kalioni hizoKama hujui kaa kimya
Sasa akikopa mpunga mrefu kuliko mafao yake inakuwaje hapo?Mkataba unasema mafao yako toka mifuko ya jamii yatakatwa kufidia deni
Mkuu kuna vigezo vya kupewa ndio maana wanaomba barua ya kuthibitishwa kazini ,miaka uliyofanya kazi na kiwango chako cha mshahara kwa mwezi kifupi huwezi pata mkopo unaozidi mafao yakoSasa akikopa mpunga mrefu kuliko mafao yake inakuwaje hapo?
Mafao si mpk 60 years?
Swali LA nyongeza bima ambayo hukatwa inafanya kazi wakati gani?