Hivi ukikopa benki (as mtumishi wa serikal) halafu ukaacha kazi, je unaweza ukafuatiliwa?

Na mtu akikopa kwenye hizi microfinance kama bayport, platinum,na zile zngne ila sio bank afu akacha kazi au kubadil kazi kukimbia makato inakuaje atafuatiliwa
 
Waandikie barua ya maombi ya kusitisha marejesho ya Mkopo kwa kuwa makubaliano yalikuwa marejesho yapitie kwenye Mshahara na sasa huna kaziwasubiri mpaka Utakapopata kazi nyingine...............Barua yako ambatanisha na barua ya Kuachishwa/ Kufukuzwa kazi..............Nadhani ITAPENDEZA.............!!!! maswala ya Akiba yako ya Uzeeni siyo makubaliano yenu................!!!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom