Hivi UKAWA Bado wanashirikiana na CUF au hawataki CUF ?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,905
Naomba kuuliza Kama UKAWA Bado Wana ushirika na CUF Kama hawana ni kwa Nini kwani huo umoja ulikuwa Ni na CUF au na maalimu Seif? Kama ulikuwa wa vyama inabidi UKAWA waendelee kuitambua CUF Kama mshirika wao
 
Ishirikiane na ccm.
 
wewe ni NZI WA KIJANI, ya UKAWA yanakuhusu nini?
maendeleo hayana chama, ndio maana utaonaUlanga kwa mlinga,
mtera kwa Job Ndugai,
Chato- kwa nanii,
kuna maendeleo sana
na mbeya kwa sugu,
arusha kwa Lema,
moshi hakuna maendeleo.
 
Ukawa imekufa kifo cha kijinga sana....

Dikteta Mbowe kubadili gia angani kumeiua Ukawa..
 
kama imekufa mbona mlimpiga lissu risasi, hela zote hazina mmenunulia wabungw wao, mnahangaika kuzima bunge, mnahangaika kukataza mikutano wakati nyie mnafanya,

ZERO BRAIN
 
Lipumba alitaka kuwatimua wabunge wa CUF ya Maalim, lakini CCM wakaingilia kati, eti aache wamalize muda wao, lakini wanataka wabunge wa chadema wote wahamie CCM, nilidhani CCM wanataka wabaki peke yao bungeni, lakini tena hawataki sijui wanaogopa nini?!
Nilidhani ccm walipigania kuunga mkono Lipumba ili kuiua UKAWA, cha ajabu ccm wanataka CUF iendelee kuwa mwanachama wa UKAWA. Hawa ccm wanataka nini?! Sitashangaa wakiikana reli ya SGR, hata ndege za watalii bila kusahau bwawa lao la SG.
 
Naomba kuuliza Kama UKAWA Bado Wana ushirika na CUF Kama hawana ni kwa Nini kwani huo umoja ulikuwa Ni na CUF au na maalimu Seif? Kama ulikuwa wa vyama inabidi UKAWA waendelee kuitambua CUF Kama mshirika wao
Hakuna ushirikiano kwa vile cuf ya sasa ni mali ya ccm kupitia kwa mawakala wafuatao
1.Lipumba
2.Mutungi
3.Rita
4.Jaji aliyehamishwa kutoka Tanga
na kuhongwa milioni 300 na viongozi wa juu
akiwemo mmoja wa muungano na
mwingine kutoka Zanzibar

Kwa kudhani Maalim atakata rufaa ili waendelee kumpotezea muda , matokeo yake wakaingia choo cha kike !
 
Naomba kuuliza Kama UKAWA Bado Wana ushirika na CUF Kama hawana ni kwa Nini kwani huo umoja ulikuwa Ni na CUF au na maalimu Seif? Kama ulikuwa wa vyama inabidi UKAWA waendelee kuitambua CUF Kama mshirika wao
Washirikiane au wasishirikiane, wewe inakuhusu nini? Kilangila.
 
Muungano wa UKAWA unaonyesha wazi kuwa haukuwa muungano wa wanachama Bali wa viongozi tu Akina Mbowe ,Lowasa,Maalimu Seif na Mbatia.Ungekuwa Ni wa wanachama hata chama Lipumba awe mwenyekiti UKAWA ungeendelea kuwepo.Yaani Seif Kuondoka CUF eti na CUF haimo UKAWA.Ule ulikuwa muungano wa matapeli wa kisiasa
 
mkuu ukawa imekua zilipendwa, hio kitu haipogo tena baada ya majambazi kupora chama flani kwa nguvu na ndie alievuruga kitu ukawa, Ila kwa sasa kuna muungano wa vyama zaidi ya nane, hadi akina rungwe ndani wakati kwenye muungano wa mwanzo yaani ukawa nadhani hawakuwepo, akina zitto, so achana hio kitu ukawa!
 
Naomba kuuliza Kama UKAWA Bado Wana ushirika na CUF Kama hawana ni kwa Nini kwani huo umoja ulikuwa Ni na CUF au na maalimu Seif? Kama ulikuwa wa vyama inabidi UKAWA waendelee kuitambua CUF Kama mshirika wao
subiri kamanda lissu ameshapona majeraha mliyompa anakuja kukujibu wewe ma mumeo JIWE
1117332
 
Back
Top Bottom