mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 772
huwa najiulizaga mara nyingi kwa nini wanapaita kwa wajanja...sipati jibu
vijana magraduate wanakimbilia sinza kwa sababu zao amabapo wengi ukiwauliza kwa nn wanaishi pale na si tofaut hana jibu...ataishia kukuambia ni rahisi kutoka na kuingia....
hakuna lolote pale....maisha ya pale yapo juu hasa kodi za nyumba kila kukicha zinapaa,hakuna mazingira mazuri ya kumuwezesha kijana/familia kuishi standard life hapa (kwa mtazamo wangu)
najua wapo wengi mtabisha au kukubali maana tumetofautiana mitazamo ila tujaribu kuangalia na maeneo mengine,,,,sinza siku izi imechafuliwa in such hata ukimweleza mtu unaishi kule anabaki na daut moyoni....mbaya zaidi starehe zake zilivyozagaa,guest,fujo na zaidi wakaaz wa mbali ndo wanakuja pale kufanya uchafu wao na baadh ya wenyeji...aahgrrrrrrrr
ANGALIZO:maisha ni popote na u live the choices u make today!!
Nakubaliana na wewe, ujanja wa Sinza ni kitimoto kwa wingi, baa ni nyingi kuliko seheu yoyote Dar na uzinzi wa hali ya juu, wanawake na wanaume wanajiuza barabarani, mabaa na night club.
faizafox na mkonowapaka msiwapotoshe watu, ukweli n kwamba wazee hawakurejesha mikopo na c kuwa na baa nyingi na madem kama unavyosema.
huwa najiulizaga mara nyingi kwa nini wanapaita kwa wajanja...sipati jibu
vijana magraduate wanakimbilia sinza kwa sababu zao amabapo wengi ukiwauliza kwa nn wanaishi pale na si tofaut hana jibu...ataishia kukuambia ni rahisi kutoka na kuingia....
hakuna lolote pale....maisha ya pale yapo juu hasa kodi za nyumba kila kukicha zinapaa,hakuna mazingira mazuri ya kumuwezesha kijana/familia kuishi standard life hapa (kwa mtazamo wangu)
najua wapo wengi mtabisha au kukubali maana tumetofautiana mitazamo ila tujaribu kuangalia na maeneo mengine,,,,sinza siku izi imechafuliwa in such hata ukimweleza mtu unaishi kule anabaki na daut moyoni....mbaya zaidi starehe zake zilivyozagaa,guest,fujo na zaidi wakaaz wa mbali ndo wanakuja pale kufanya uchafu wao na baadh ya wenyeji...aahgrrrrrrrr
ANGALIZO:maisha ni popote na u live the choices u make today!!
Mimi nimekaa sinza miaka Mitano kama mpangaji. Na kilichofanya nidumu sana hilo eneo ni hapo penye nyekundu. Kweli nakubali binadamu tunatofautiana sanahuwa najiulizaga mara nyingi kwa nini wanapaita kwa wajanja...sipati jibu
vijana magraduate wanakimbilia sinza kwa sababu zao amabapo wengi ukiwauliza kwa nn wanaishi pale na si tofaut hana jibu...ataishia kukuambia ni rahisi kutoka na kuingia....
hakuna lolote pale....maisha ya pale yapo juu hasa kodi za nyumba kila kukicha zinapaa,hakuna mazingira mazuri ya kumuwezesha kijana/familia kuishi standard life hapa (kwa mtazamo wangu)
najua wapo wengi mtabisha au kukubali maana tumetofautiana mitazamo ila tujaribu kuangalia na maeneo mengine,,,,sinza siku izi imechafuliwa in such hata ukimweleza mtu unaishi kule anabaki na daut moyoni....mbaya zaidi starehe zake zilivyozagaa,guest,fujo na zaidi wakaaz wa mbali ndo wanakuja pale kufanya uchafu wao na baadh ya wenyeji...aahgrrrrrrrr
ANGALIZO:maisha ni popote na u live the choices u make today!!
Kunywa bia mpaka asubuhi, huwezi kunywa popote zaidi ya Sinza
Kwa hiyo mlitaka waseme masaki/mbezi beach au mikocheni kwa wajanja? wenyewe wanashinda sinzahakuna ujanja wowote sinza zaidi ya wizi,uhuni, mabaa na MADIMBWI YA MAJI BARARANI. Actually sinza ni kati ya sehemu mbaya za kuishi hapa bongo hasa kwa wenye familia. kwa vijana wa kutoka chuo ok maana hata maisha hawayajui
Post za kipuuzi hizi, unaposema vijana wengi magraduet wanakwenda kupanga sinza, kwahiyo unamaanisha wale ambao hawajapata elimu ya juu sio vijana. wewe ni mvivu wa kufikiri. edit upya thread yako ili uilete jamvini. pesa ndio mpango mzima na sio kugraduet.
Mkuu umeona hili tuKunywa bia mpaka asubuhi, huwezi kunywa popote zaidi ya Sinza