Napenda kuuliza Watu ambao wanaishi au wameshawahi kuishi Uingereza, hivi Uingereza ni Nchi tajiri sana, au ya kati kati? Najua kwamba sio Maskini kama TZ lkn Sina Uhakika kama ni tajiri Sana...
Napenda kuuliza Watu ambao wanaishi au wameshawahi kuishi Uingereza, hivi Uingereza ni Nchi tajiri sana, au ya kati kati? Najua kwamba sio Maskini kama TZ lkn Sina Uhakika kama ni tajiri Sana...
kwani hela ndio utajiri sio ni mipango tu hiyo..ebu linganisha currency ya Tanzania na England unapata mfano mdogo sanaa kwamba ni masikini au...
kwani hela ndio utajiri sio ni mipango tu hiyo..
| Group | Nations | Group | Nations | Group | Nations | Group | Nations | Group | Nations |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| Group 1 |
| Group 2 | Group 3 | Group 4 | Group 5 | ||||
| |
kwani hela ndio utajiri sio ni mipango tu hiyo..
US,Uingereza ni nchi tajiri,pia ni nchi ya kwanza kuwa tajiri kiviwanda kpnd cha karne ya 17 had 19 hv baadae ndo zkaja nchi nyingne,ilitawala karibu robo 3 ya dunia,ikaiba raslimali za kutosha.
Iko kwenye nchi tajiri na zilizoendelea kiviwanda,G7,group ambalo urusi wala china hayumo,iko G8,china hayumo,iko G20 ambalo utaikuta china,brazil nk
kwa hyo unaposema nchi tajiri duniani huwez kutaja namba zaidi ya mbili bila kuitaja uingereza,ni sawa na kutaja matajiri wa tanzania bila kumtaja mengi,unakua umekosea.
US,
CHINA
JAPAN
GERMANY.
France