Hivi UDP ni NGO ya Cheyo au CCM?

Hivi UDP ni NGO ya Cheyo au CCM?

Joined
Mar 24, 2011
Posts
5
Reaction score
0
Binafsi sioni juhudi zozote za cheyo, kujenga chama cha UDP.Au ndio ameshakibinafsisha na kuwa NGO ya CCM?Naomba ufafanuzi?
 
Ni NGO ya Cheyo yenye kufadhiliwa na CCM...... Rahisi jibu liko ndani ya swali!
 
Ukweli hiyo ni NGO ya Cheyo, lakini kwakuwa hivi sasa chama hicho hakikidhi masharti ya kuwa chama cha siasa, ameona ni vema ajisalimishe kwa CCM ili chama hicho tawala kiendelee kumlinda ili chama chake kisije kikafutwa.
 
Back
Top Bottom