PLATO MAGELE
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 203
- 54
Ni mbinu ya kutenda mambo kwa nguvu zisizo za kawaida. Siyo sayansi ila ni swala la imani. Kama umewaona baadhi ya viongozi wa dini za kisasa/kileo (mfano wakristo) wakifanya miujiza kama ya kuombea watu wakashuhudia kuwa wamepona! Nguvu kama hiyo ipo katika dini za asili ingawa imeitwa jina baya la UCHAWI. Kipawa kama hicho kilichokuwa na wazee wetu kimevikwa kila baya ili kusudi u-sasa ulioletwa na wageni tuuone ndio bora zaidi.
Uko sawa kabisa.