hivi uchawi ni nini??

Elijah

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
1,663
Reaction score
424
wakuu nisaidieni katika hili,je uchawi ni nini??kuna wengine wanasema ni sayansi iliyofichika,yaani ambayo mechanism yake ni ngumu kuielezea,nakumbuka msomi mmoja wa chuo kikuu alikuwa anadadavua kidogo mambo haya,je wakuu uchawi ni nini??????
 
ni nguvu za mungu ambazo zinamilikiwa kimakosa yaan bila ruhusa na kudanganya wa2 ni hilo tu mkuu
 
Ni nguvu za giza.....sijui mwaya ngoja niache kuwalisha tangopori
 

Wasiliana na zito atakuelewesha vizuri...
 
[MENTION]mzizi mkavu[/MENTION] kuja kibande hii
 
Ukitaka kujua kitu jifunze kukisoma kwa undani,hapa watu hawatakupa elimu sahihi,mtafute mganga wa kienyeji then muulize naamini atakuelezea vizuri kwa vitendo na nadharia.
Kila la kheri.
 
Ukitaka kujua kitu jifunze kukisoma kwa undani,hapa watu hawatakupa elimu sahihi,mtafute mganga wa kienyeji then muulize naamini atakuelezea vizuri kwa vitendo na nadharia.
Kila la kheri.

Mkuu naona unamshauri ajiunge kabisa
 
wakuu nisaidieni katika hili,je uchawi ni nini??kuna wengine wanasema ni sayansi iliyofichika,yaani ambayo mechanism yake ni ngumu kuielezea,nakumbuka msomi mmoja wa chuo kikuu alikuwa anadadavua kidogo mambo haya,je wakuu uchawi ni nini??????

Ni mbinu ya kutenda mambo kwa nguvu zisizo za kawaida. Siyo sayansi ila ni swala la imani. Kama umewaona baadhi ya viongozi wa dini za kisasa/kileo (mfano wakristo) wakifanya miujiza kama ya kuombea watu wakashuhudia kuwa wamepona! Nguvu kama hiyo ipo katika dini za asili ingawa imeitwa jina baya la UCHAWI. Kipawa kama hicho kilichokuwa na wazee wetu kimevikwa kila baya ili kusudi u-sasa ulioletwa na wageni tuuone ndio bora zaidi.
 
inawezekana kabisa,kuna theories kama za resonance ambazo zimekuwa zikitumika kulink mambo ya uchawi,yawezekana pia wazee hawa wetu hawakuweza kuelezea haya masuala yanakuwaje,mchambuzi wa mambo ya nishati ,albert einstein aliwahi kuelezea dhana hii hasa kuhusu mambo ya energy-particle dality
 
sitaki definition,nataka mechanism ya uchawi na unafanyika vipi,ni kama tunavyofahamu leo mtu anapowasiliana kwa simu au internet,sasa upande wa uchawi inakuwaje,ndio swali langu,hata hivyo waweza nielekeza kwa mganga unayemtumia
Yeye anataka definition.,then aende kwenye kamusi ya kiswahili
 
Kwetu hapa Katavi haya mambo ni kawaida tu mbona, mtu kuelea angani, kutatua mambo magumu!!!




 
kuua ndugu na majirani, kuwapa uchizi watoto wako, kuvunja ndoa za watu, kuloga wenzio ofisini n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…