Hivi tutaishije kama hali ikiendelea kuwa hivi?

Hivi tutaishije kama hali ikiendelea kuwa hivi?

SweetyCandy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
4,796
Reaction score
8,980
Yaani wakulima wanatuua kimya kimya.
WAnawaka dawa kila mmea waupandao .

1. Mahindi tokea majani yaliyobaki baada ya mavuno wao wanapulizia dawa majani yanakauka .

Haya baada ya hapo wanaandaa shamba wanaanzisha madawa ndio wanapanda wiki 3 wanapulizia tena madawa hadi uvune mahindi ni madawa matupu.

Kwa maharage na kila zao ni madawa sasa watu watakosaje magonjwa ya wazungu.
Zamani watu wanapanda nakuweka vitu vya asili ila sasa kila siku ni madawa ndio maana kuna kensa kwa sasa saratani ya kila kiungo kisa chakula tunachokula kina madawa yakutosha .

Sasa wanaopanda mazao mnataka nini kupoteza taifa la kesho kwa madawa ?? Maana kila kitu kwa sasa kina madawa yanasikika hadi shida msiwe mnaweka tu mazao ya madawa ili muuze jaribuni kuona walaji watakuwaje .
 
Nguruwe wana kuzwa na madawa wengine wanadai mpaka ArV na vidonge vya uzazi wa mpango vinatumika , mboga madawa , kuku na wanyama wengine wakufugwa madawa, hivyo ni madawa madawa , usipouliwa na bia utauliwa hata na kuku na mchicha unaokula.
Screenshot_2026-02-03_174434.jpg
 
Bado kuna maji kilimanjaro wanawaweka dawa , kila maji ya viwandani yote ni dawa maji ya idara ya maji dawa maziwa hadi ng'ombe wanawalisha madawa yaani shida sana aisee hii ni kerooo hadi maparachichi dawa sasa kama mapapai ni dawa huoni tumeshafikia pabaya mboga niwanaweka dawa nazi tu ndio haina dawa . Jamani tunaelekea wapi?? Na afya zetu ??
 
Ndio ubepari huo, dawa zimekuwa ndio chakula na chakula ni dawa. Endelea kukusanya iyo misumu huko mwilini ili utakapostaafu utumie pensheni yako kujitibu.
 
Kama una NGUVU badala ya Kupanda MAUA na Mapambo yasiyo na faida nyumbani kwako weka Bustani, fuga kuku wako wa kienyeji, fuga mbuzi wako na ngombe mmoja wa maziwa. Katu hutolalamika.. ila ukiwa MVIVU wa kutolima utakula sumu tu maana wengi ni wavivu na wanataka matokeo ya chapu chapu na faida ya chapu chapu
 
TUMEAMUA KUWATEKETEZA MLITUZALAU SANA YAAN HAD MBEBA MABOX ALIKUWA ANATUZALAU WAKULIMA MATAKO YAKE SAIV HEKA MOJA GUNIA 40 TUKILIMA ZETU HEKA 5 KA HARRIA HAKA HAPA SAIV MPAKA HOWO TUNANUNUA TUMEWAACHA MBALI SANA POLEN
 
TUMEAMUA KUWATEKETEZA MLITUZALAU SANA YAAN HAD MBEBA MABOX ALIKUWA ANATUZALAU WAKULIMA MATAKO YAKE SAIV HEKA MOJA GUNIA 40 TUKILIMA ZETU HEKA 5 KA HARRIA HAKA HAPA SAIV MPAKA HOWO TUNANUNUA TUMEWAACHA MBALI SANA POLEN
 
Back
Top Bottom