Hivi Tundu Lissu alikubalije Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula awe mshauri wake kipindi cha kampeni?

Si bora LIssu ana mshauri kuliko yule mfalme asiyekubali ushauri achilia mbali kuwa na washauri...
 
Usisahau mshauri mwingine wa Tundu Lissu alikuwa Shehe Ponda Issa Ponda. Jamani hao ndio watu desaini ya Lissu anayepigiwa upatu na mabeberu awe rais ya JMT. Lakini Mungu wa Mbinguni yuko na TZ, tusiwe na wasiwasi hayo hayatatokea kamwe. Mabeberu na Lissu wao na Issa Ponda na Mwamakula wataendelea kuisoma namba.
Lakini pendekezo lake sio baya maana issue ya Katiba mpya wabunge walishashiriki kuanza hiyo kazi ikaishia kati/njiani . Shida ya Askofu nayoiona ni kutaka tuandamane kudai Katiba bila yeye kwanza kupata vibali vya kuruhusu hayo maandamano.
 
Mze apigane kwanza apate kibali ili hayo maadamano wawepo Police kulinda usalama wetu maana watu wakiwa wengi sehemu moja hasa kama kwenye maadamano sio kwamba tumejichoka bali tupewe ulinzi kutoka sehemu ya maandamano hadi kituo cha mwisho tutakapoishia na kila mtu arudi nyumbani kwake bila kupoteza pochi au kupewa "Ngeu" usoni. Jambo likiwa zuri ukakosea utaratibu basi unaonekana sio mtu wa utaratibu na mpangilio mzuri. Akishapewa vibali sasa aite wenye nia na asisahau chakula cha mchana na maji tupewe pia.
 
Jana nimeisikia kauli ya Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa akisema wanamshikilia mtu anayejiita Askofu wa kanisa la Moravian la uamsho Tanzania Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula kwa tuhuma za uchochezi.

Lengo langu siyo kum discredit huyu Askofu Ila mwanasheria msomi Kama Tundu Lissu hakuwa wa kukubali kuwa na mshauri Kama Mwamakula, tusiangalie umaarufu wake na kujulikana au uanaharakati wake bali mshauri anapaswa kuwa mtu wa haiba njema na mwenye uelewa wa mambo na mwenye busara

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula hana busara wala Sifa njema katika jamii. Historia yake inaonesha alifukuzwa ndani ya kanisa la Moravian Tanzania baada ya kuasi na kusababisha vurugu. Mwanzo alikuwa mchungaji wa kanisa la Moravian Tanzania na alikuwa kinara na muanzilishi wa migogoro ndani ya kanisa hasa Jimbo la mashariki. Kutokana na tabia yake hio ya kuchochea migogoro alifanya kanisa lisitawalike, ilifika wakati ikawa ni vita juu ya vita waumini wakawa wanapigana makanisani.

Ni mpaka pale kanisa lilipoamua kumvua uchungaji ndipo hali ilipotulia na sasa kanisa la Moravian Tanzania lipo shwari na imara.

Baada ya kufukuzwa uchungaji Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula bado amekuwa akijitambulisha Kama Askofu wa Kanisa la Moravian la uamsho, amekuwa akiongeza neno uamsho kujitofautisha na kanisa halisi la Moravian Tanzania.

Kiufupi Mwamakula anatumia jina la Kanisa la Moravian Tanzania ambalo limesajiliwa kwa manufaa yake, sijajua hata Kama limesajiliwa, hata Kama limesajiliwa je wizara ya mambo ya ndani inawezaje kuruhusu mtu asajili jina linaloendana kiasi hicho na kanisa lingine, na Kama halijasajiliwa inakuwaje wizara ya mambo ya ndani ikalie kimya uvunjifu huu wa sheria.

Nadhani sasa mtaona jinsi huyu Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula alivyo ni mtu wa aina gani? Je mtu mwenye sifa hiyo ya kufukuzwa ndani ya kanisa kwa kuasi anafaa kuwa mshauri wa mtu anayetaka kuwa mgombea urais?. Mtu anayetumia jina la kanisa kinyume na sheria na kulichafua kanisa la Moravian Tanzania je anafaa kuwa mshauri wa Rais Mtarajiwa? Lisu aliwaza nini?

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula amelichafua na anaendelea kulichafua kanisa la Moravian Tanzania kwa kujitambulisha Kama Askofu mkuu na huku kanisa la Moravian halinaga cheo cha Askofu mkuu, maaskofu wa kanisa la Moravian Tanzania wapo watano tu nchi nzima na Mwamakula si mmoja wao. Na wala hakuna Askofu mkuu wa kanisa la Moravian Tanzania kwani kanisa lina uongozi wa majimbo na kila Askofu ana mamlaka kamili katika Jimbo na ngazi ya Taifa kanisa linaongozwa na sinodi.

Kwa mfano katika mkutano mkuu wa ACT Wazalendo Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula alijitambulisha Kama Askofu mkuu wa kanisa la Moravian Tanzania na kushangiliwa kwa nderemo na vifijo huku akiwa ameongozana na wachungaji wake. Hali hiyo ameendelea nayo kipindi chote cha kampeni za Tundu Lissu.

Ombi langu kwa Serikali Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula adhibitiwe atahatarisha usalama wa nchi akiachwa Kama alivyohatarisha amani ndani ya kanisa.

Ushauri kwa Lissu awe makini siku nyingine anapoteua watu wa kumshauri.

Sikiliza kanisa la Moravian Tanzania likitolea ufafanuzi.

View attachment 1703647

hivi ilikuwaje magufuli akampigia kampeni askofu gwajima aliyejirekodi akimtomba muumini wake na kurusha kwenye mitandao ya kijamii
 
Hoja yako haina mashiko....Hata Magufuri alifukuzwa seminari
 
Ni hivi tunataka katiba mpya, hatuna haja ya kwenda mbinguni maana hatuna uhakika kama mbingu ipo, ila tunajua kwa uhakika katiba hii ni mbovu na ndio chanzo cha kutawaliwa kidictator.
Duuuh! hatari sana
 
Back
Top Bottom