Hivi Tundu Lissu alikubalije Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula awe mshauri wake kipindi cha kampeni?

... Mataga kazi mnayo; ndio mmetumwa kuleta ngonjera humu kumchafua Baba Askofu? Siku zote mlikuwa wapi kueleza hayo? Kosoa hoja yake ya Katiba mpya, acha kufanya personal attacks.
Huyo ni askofu kama wengine kashfa Haina maana yoteyote.kuingiza dini kwenye ukamataji haisaidii.mambo mengine bhana.
 
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula hana busara wala Sifa njema katika jamii. Historia yake inaonesha alifukuzwa ndani ya kanisa la Moravian Tanzania baada ya kuasi na kusababisha vurugu. Mwanzo alikuwa mchungaji wa kanisa la Moravian Tanzania na alikuwa kinara na muanzilishi wa migogoro ndani ya kanisa hasa Jimbo la mashariki. Kutokana na tabia yake hio ya kuchochea migogoro alifanya kanisa lisitawalike, ilifika wakati ikawa ni vita juu ya vita waumini wakawa wanapigana makanisani.
Leo hii akitamka kwamba anamtaka Magu aendelee kwa miaka zaidi ya kumi hivyo katiba yetu ibadilishwe - nafikiri usingeandika huu utumbo - mnamshambulia kwa sababu tu anataka watanzania wapate katiba mpya na watazania wote wanalijua hilo.
 
Moravian Mbeya ndilo kanisa kubwa la pili kwa ukubwa Lisu akaenda na Askofu mwasi Mwamakula eti awahubirie wana mbeya jibu walilipata sanduku la kura yeye Lisu na wenzie watu walichukia kweli kuwa Lisu ANAWALETEA MUASI WALIYEMFUKUZA KANISANI NI DHARAU KUBWA MNO
Mwamakula hana kosa lolote,anahamasisha watu tufanye maandamano ya amani ambayo yanaruhusiwa kikatiba kudai katiba Mpya.
Hii ya sasa inawalinda nyie viongozi,sio sisi wenye nchi.
 
Lengo langu siyo kum discredit huyu Askofu Ila mwanasheria msomi Kama Tundu Lissu hakuwa wa kukubali kuwa na mshauri Kama Mwamakula, tusiangalie umaarufu wake na kujulikana au uanaharakati wake bali mshauri anapaswa kuwa mtu wa haiba njema na mwenye uelewa wa mambo na mwenye busara
Lord Diplock waswahili husema, 'Birds of the same feathers fly together'. Hivyo utakuta wa UDOM wanatembea pamoja, wa UDSM watatembea pamoja na wale mafyatu wa Mirembe utawakuta nao wanatembea pamoja. Hivyo Lissu na Mwamakula kutembea pamoja ni expected kabisa.
 
Jana nimeisikia kauli ya Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa akisema wanamshikilia mtu anayejiita Askofu wa kanisa la Moravian la uamsho Tanzania Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula kwa tuhuma za uchochezi.

Lengo langu siyo kum discredit huyu Askofu Ila mwanasheria msomi Kama Tundu Lissu hakuwa wa kukubali kuwa na mshauri Kama Mwamakula, tusiangalie umaarufu wake na kujulikana au uanaharakati wake bali mshauri anapaswa kuwa mtu wa haiba njema na mwenye uelewa wa mambo na mwenye busara

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula hana busara wala Sifa njema katika jamii. Historia yake inaonesha alifukuzwa ndani ya kanisa la Moravian Tanzania baada ya kuasi na kusababisha vurugu. Mwanzo alikuwa mchungaji wa kanisa la Moravian Tanzania na alikuwa kinara na muanzilishi wa migogoro ndani ya kanisa hasa Jimbo la mashariki. Kutokana na tabia yake hio ya kuchochea migogoro alifanya kanisa lisitawalike, ilifika wakati ikawa ni vita juu ya vita waumini wakawa wanapigana makanisani.

Ni mpaka pale kanisa lilipoamua kumvua uchungaji ndipo hali ilipotulia na sasa kanisa la Moravian Tanzania lipo shwari na imara.

Baada ya kufukuzwa uchungaji Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula bado amekuwa akijitambulisha Kama Askofu wa Kanisa la Moravian la uamsho, amekuwa akiongeza neno uamsho kujitofautisha na kanisa halisi la Moravian Tanzania.

Kiufupi Mwamakula anatumia jina la Kanisa la Moravian Tanzania ambalo limesajiliwa kwa manufaa yake, sijajua hata Kama limesajiliwa, hata Kama limesajiliwa je wizara ya mambo ya ndani inawezaje kuruhusu mtu asajili jina linaloendana kiasi hicho na kanisa lingine, na Kama halijasajiliwa inakuwaje wizara ya mambo ya ndani ikalie kimya uvunjifu huu wa sheria.

Nadhani sasa mtaona jinsi huyu Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula alivyo ni mtu wa aina gani? Je mtu mwenye sifa hiyo ya kufukuzwa ndani ya kanisa kwa kuasi anafaa kuwa mshauri wa mtu anayetaka kuwa mgombea urais?. Mtu anayetumia jina la kanisa kinyume na sheria na kulichafua kanisa la Moravian Tanzania je anafaa kuwa mshauri wa Rais Mtarajiwa? Lisu aliwaza nini?

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula amelichafua na anaendelea kulichafua kanisa la Moravian Tanzania kwa kujitambulisha Kama Askofu mkuu na huku kanisa la Moravian halinaga cheo cha Askofu mkuu, maaskofu wa kanisa la Moravian Tanzania wapo watano tu nchi nzima na Mwamakula si mmoja wao. Na wala hakuna Askofu mkuu wa kanisa la Moravian Tanzania kwani kanisa lina uongozi wa majimbo na kila Askofu ana mamlaka kamili katika Jimbo na ngazi ya Taifa kanisa linaongozwa na sinodi.

Kwa mfano katika mkutano mkuu wa ACT Wazalendo Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula alijitambulisha Kama Askofu mkuu wa kanisa la Moravian Tanzania na kushangiliwa kwa nderemo na vifijo huku akiwa ameongozana na wachungaji wake. Hali hiyo ameendelea nayo kipindi chote cha kampeni za Tundu Lissu.

Ombi langu kwa Serikali Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula adhibitiwe atahatarisha usalama wa nchi akiachwa Kama alivyohatarisha amani ndani ya kanisa.

Ushauri kwa Lissu awe makini siku nyingine anapoteua watu wa kumshauri.

Sikiliza kanisa la Moravian Tanzania likitolea ufafanuzi.

View attachment 1703647
Magafuli hafanyi tena teuzi
 
RUBBISH!

Lissu angebaki na mshauri mmoja tu wa kiroho huku Ugalatiani- Dr. Kalikawe Bagonza.
2216201_1574175490291.jpg
 
Hata magufuli alifukuzwa seminsri ya katoke
Dogo hizo propaganda za kitoto wapelekee maccm wenzio
 
Moravian Mbeya ndilo kanisa kubwa la pili kwa ukubwa Lisu akaenda na Askofu mwasi Mwamakula eti awahubirie wana mbeya jibu walilipata sanduku la kura yeye Lisu na wenzie watu walichukia kweli kuwa Lisu ANAWALETEA MUASI WALIYEMFUKUZA KANISANI NI DHARAU KUBWA MNO
Tunawahitaji maaskofu wenye akili, hekima na uzalendo kama huyu
 
Kwa akili yako unasema kwamba Lissu alikosa kura kwa sababu ya hao washauri wake ?.Lissu hakukosa kura ila ......kura.
Kuna watu kama wanne walimharibia Lisu.

Bagonza
Mwamakula
Amsterdam
Ponda

Huwezi kushinda urais wa tz kwa kutegemea injini za kijinga namna hii.

Lisu tangu mwanzo tulisema ni debe tupu, ona sasa aliokuwa anawategemea! Hapo kuna yeyote anaejua fitina za siasa kweli zaidi ya kuongea tu kiuanaharakati?
 
Lissu anawapenda watu wa aina hii waongo,wachonganishi,wabishi,walalamishi,wenye viburi,wasio na hekima na busara,wasio jitambua SASA kama alifukuzwa pale Morovian ambapo hata waumin hawafiki milion Tatu angewezaje kumshauri Rais wa Nchi???
Dawa ni serikali kumkamata ananyea debe siku mbili anapuuzwa anaachiwa Hadi ajidharau na hakuna mtz atakayeandamana!!!!Tundu Lissu 🤔🤔🤔🤔🙄
 
... Mataga kazi mnayo; ndio mmetumwa kuleta ngonjera humu kumchafua Baba Askofu? Siku zote mlikuwa wapi kueleza hayo? Kosoa hoja yake ya Katiba mpya, acha kufanya personal attacks.
Kama anataka katiba mpya si aende mahakamani akaidai?
Kwenye katiba kuna kipengele kinachosema udai katiba barabarani?
 
Back
Top Bottom