Hivi tundu kwenye donati ni la nini?

Kuna jamaa yangu ni mlafi balaa.... donati anakulaga hadi hicho kitundu!!
 
Ni style yake tu kulifanya liwe la kipekee, na likiondolewa hilo tundu halitaitwa donat, litakuwa andazi la kawaida!
 
Huu mi naona ni wizi kabisaaaa......leo wacha niseme bwana

Nimejiuliza sana bila kupata majibu.....kwann kuna tyndu katikati ya donati?? Huwa linanikera na naona kama ni kupunjana kabisa.

Hebu anayejua aniambie lina maana gani.
Lengo ni kuonyesha jinsia yake......:p:p
 
Back
Top Bottom