kampelewele
JF-Expert Member
- Oct 13, 2014
- 2,998
- 2,414
Unatania?Zamani hakuiuwa na tabloids lakini siku hizi zipo..
Hakuna cha ajabu
Hata sisi wanaume siku hizi tunaficha tuliowatembelea. Kwa msichana aonekane anakanyagwa sana? au ndiyo huo uuzaji wenyewe anatafuta soko.Sasa cha ajabu ni kipi hapo kwani huyo gigy si sawa tu na wauza papuchi wengine sasa hiyo staha ataitoa wapi
Hata sisi wanaume siku hizi tunaficha tuliowatembelea. Kwa msichana aonekane anakanyagwa sana? au ndiyo huo uuzaji wenyewe anatafuta soko.
Bigirimana kweliWanao uza ni wengi siku hizi na sio tu wale wanaokaa barabarani au kwenye mabaa hata majumbani mwetu,maofisini na hata kwingineko maana hata ukimtaka mshichana kama huna pesa huwezi mpata sasa si biashara hiyo
Imagine mtoto wa kike kujisifu kuwa kaliwa na fulani, haiingii akiliniStaha na mambo ya siri siku hizi vimekuwa kituko na upuuzi mtupu
Afadhali MMU hatujuani si katika gazeti mkuuMtoa mada utakuwa hupitagi MMU ungewaona watu wanavyofunguka....
Ni upuuzi wa kiwango kisichofikirikaImagine mtoto wa kike kujisifu kuwa kaliwa na fulani, haiingii akilini
..... Yani ukiona mtu anautafuta umaarufu kwa nguvu zoote wakati hana shughuli yoyote inayoeleweka anayofanya basi huyo atakuwa ni malaya tu!! Over.Sasa cha ajabu ni kipi hapo kwani huyo gigy si sawa tu na wauza papuchi wengine sasa hiyo staha ataitoa wapi
..... Yani ukiona mtu anautafuta umaarufu kwa nguvu zoote wakati hana shughuli yoyote inayoeleweka anayofanya basi huyo atakuwa ni malaya tu!! Over.