Deo Haule
Member
- Aug 9, 2016
- 41
- 34
Jamani ivi hawa Tigo tuseme wanazijua namba za siri za Tigo pesa za wateja wao?
Maana kuna wakati wanatuambia tubadilishe namba za siri tuweke mpya tukianza na kampuni namba 0000
Haya tunaweka kisha tunaambiwa weka namba siri mpya sasa hapo ndipo shida inapoanza kwa maana ukiweka ile ya mwanzo utakuta wanasema namba yako mpya isifanane na ile ya zamani inamaana wao ya zamani wameijuaje?

by the way wacha nikujibu hizi huduma zinaendeshwa kwa kutegemea systyem hivyo iyo system ndio inayokugomea na kukubalia na sio tigo kama ulivyoandika naomba kuwakilisha