hahaa kuna watu hivyo kwao ni ANASA... so hauwezi jua mtoa Mada yupo kwenye kundi lipiYaani hata papuchi haikupi raha?, wali nyama hupati raha?, nyama choma na bia hupati raha?, basi una kasoro kubwa sana
Once you are a child of God you will be accepted by many for your actions, you shall never run out and f your necessitiesFuraha, ila hili linachangiwa na mengi mfano kuwa well of kiuchumi, kukubalika na jamii na kuwa na afya njema!
Thats what i see from my point of view!
Ni kweli ila i don't believe being a child of God only can bring something on the table, stability ya kiuchumi ni very essential katika kuleta furaha ya mtu hasa kwa dunia ya leo. Huna pesa utadharaulika mpaka na mtoto unaeweza kumzaa, unakosa thamani katika jamii na hata mahitaji yako muhimu utashindwa timiza kisha kuanza kukosa afya njema ya akili!Once you are a child of God you will be accepted by many for your actions, you shall never run out and f your necessities
Well through experience i have been in contact with people who offered me jobs when the chances were to narrow. Working hard is vital tooNi kweli ila i don't believe being a child of God only can bring something on the table, stability ya kiuchumi ni very essential katika kuleta furaha ya mtu hasa kwa dunia ya leo. Huna pesa utadharaulika mpaka na mtoto unaeweza kumzaa, unakosa thamani katika jamii na hata mahitaji yako muhimu utashindwa timiza kisha kuanza kukosa afya njema ya akili!
Deliver every promise ....!Bado sijaelewa umuhimu wa kuishi hapa duniani.
Wapo wanaofurahi, wapo wanaoteseka na wengine wapo wapo tu.
umesema jambo linalo ishi kwenye ulimwengu wa sasaNi kweli ila i don't believe being a child of God only can bring something on the table, stability ya kiuchumi ni very essential katika kuleta furaha ya mtu hasa kwa dunia ya leo. Huna pesa utadharaulika mpaka na mtoto unaeweza kumzaa, unakosa thamani katika jamii na hata mahitaji yako muhimu utashindwa timiza kisha kuanza kukosa afya njema ya akili!
Yeah mkuu, ukweli upo wazi...Ni gharama sana kukosa chanzo cha kipato ama shughuli halali ya kuingiza hela itakayokuwezesha kumudu maisha na kufanya maendeleo. Hali hiyo naweza kuifananisha na ulemavu wa kiuchumi ambao hupelekea umaskini wa afya ya mwili na akili. Sasa ukijawa na stress na maradhi utakuwaje na furaha mkuu!umesema jambo linalo ishi kwenye ulimwengu wa sasa
I concur!Well through experience i have been in contact with people who offered me jobs when the chances were to narrow. Working hard is vital too
furaha itatoka wapi chief .. labda kama uwe bado kwenye kundi la ujingaYeah mkuu, ukweli upo wazi...Ni gharama sana kukosa chanzo cha kipato ama shughuli halali ya kuingiza hela itakayokuwezesha kumudu maisha na kufanya maendeleo. Hali hiyo naweza kuifananisha na ulemavu wa kiuchumi ambao hupelekea umaskini wa afya ya mwili na akili. Sasa ukijawa na stress na maradhi utakuwaje na furaha mkuu!
Nifanyeje ili kua mtoto Wa Mungu?Once you are a child of God you will be accepted by many for your actions, you shall never run out and f your necessities