cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,152
- 1,855
Habari za mchana wana jamvi, nime restore simu yangu aina ya K7 sasa cha ajabu tangu nii restore mpaka sasa hivi ni zaidi ya lisaa haijawaka sasa sijui tatizo nini?
Na nina jamaa yangu week iliyoisha nae ali restore tecno L8 cha ajabu ikawaka siku ya kesho yake, sasa nauliza hawa watengenezaji wa hizi simu ni fake au inakuwaje mpaka uki restore tu zinazima moja kwa moja? Kwa yeyote mwenye utaalam nazo anijuze jamani