Hivi TBC wanampendea nini Gabriel Zakaria? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi TBC wanampendea nini Gabriel Zakaria?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kimboka one, Aug 11, 2011.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  huyu jamaa ni mwandishi kweli mbona anakera? Hivi
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kwa nini mkuu?jamaa anafata taratibu,kule radio free africa alikuwa free lakini kakosea kuingia pale
   
 3. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Toa sababu amefanya nini?
   
 4. Money Maker

  Money Maker Senior Member

  #4
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  amefanya nini?au anaongea kama anaigiza sauti ya mtu fulani.
   
 5. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  hahaha ndiyo manjonjo ya waandishi. Na malatu wa ITV nae utasemaje? Anakera mno! hovyooo kabisa
   
 6. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #6
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  wewe ndio humpendi mkuu maana ingekuwa watu wanaamua tungeanza na kibonde
   
 7. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Anakera kitu gani au una chuki binafsi. Au pengine damu yako na damu yake hazipatani, maana hiyo ni kawaida hutokea tu mtu fulani akamchukia mtu mwingine bia sababu yoyote.
   
Loading...