Hivi TBC, UHURU FM na STARTV ni mali ya CCM?

Wadau poleni na mihangaiko ya kila siku.

Napenda kujua kuwa TBC FM, TBC TV, TBC TAIFA, UHURU FM& GAZETI LA UHURU, SAHARA MEDIA (Startv, na Radio Free)

Ni mali ya CCM?
Maana naona wamekua wakitangaza habari za CCM tu na kuuponda UPINZANI..

Ukiona wametangaza habari ya Upinzani basi ujue ni ya kukosoa.

Nimekerwa sana... RFA nilikua naipenda ila sitaisikiliza tena...

mali ya Lowasa kimeo /KUNGUNI
 
Hivi ITV, Channel Ten, EATV, Times FM, E FM Na Magazeti Ya MWANANCHI, MAJIRA, TANZANIA DAIMA, MTANZANIA, RAIA MTANZANIA Na NIPASHE Ni Mali Ya CHADEMA Na UKAWA?

Maana Naona Wamekuwa Wakitangaza Habari Za UKAWA Tu Na Kuiponda CCM....
Ukiona Wametangaza Habari Ya CCM Basi Ujue Ni Ya Kukosoa.
Nimekerwa Sana....ITV Nilikuwa Naipenda Ila Sitaiangalia Na Kuisikiliza Tena....
Sifaa hizo
Sifa
 
hata viwanja vyote vya michezo ni mali ya ccm japokuwa kuna vilivyojengwa kabla ya ccm
 
TBC ni radio ya Taifa haipaswi kuegemea upande wowote,wanachama wote wa vyama vyote wanalipa kodi,lazima haki iwe sawa!
 
Wadau poleni na mihangaiko ya kila siku.

Napenda kujua kuwa TBC FM, TBC TV, TBC TAIFA, UHURU FM& GAZETI LA UHURU, SAHARA MEDIA (Startv, na Radio Free)

Ni mali ya CCM?
Maana naona wamekua wakitangaza habari za CCM tu na kuuponda UPINZANI..

Ukiona wametangaza habari ya Upinzani basi ujue ni ya kukosoa.

Nimekerwa sana... RFA nilikua naipenda ila sitaisikiliza tena...

Hivi vituo vyote pumba kabisa....na kama ni biashara bora vituo vyao wafugie kuku manake hata mvuto kwa watu vimepungua
 
Wadau poleni na mihangaiko ya kila siku.

Napenda kujua kuwa TBC FM, TBC TV, TBC TAIFA, UHURU FM& GAZETI LA UHURU, SAHARA MEDIA (Startv, na Radio Free)

Ni mali ya CCM?
Maana naona wamekua wakitangaza habari za CCM tu na kuuponda UPINZANI..

Ukiona wametangaza habari ya Upinzani basi ujue ni ya kukosoa.

Nimekerwa sana... RFA nilikua naipenda ila sitaisikiliza tena...

Usiogope ndugu kwani watangazaji woote wa hivyo vituo kura watampa LOWASSA! Ni ajira tu wanalinda hawana jinsi!
 
Wadau poleni na mihangaiko ya kila siku.

Napenda kujua kuwa TBC FM, TBC TV, TBC TAIFA, UHURU FM& GAZETI LA UHURU, SAHARA MEDIA (Startv, na Radio Free)

Ni mali ya CCM?
Maana naona wamekua wakitangaza habari za CCM tu na kuuponda UPINZANI..

Ukiona wametangaza habari ya Upinzani basi ujue ni ya kukosoa.

Nimekerwa sana... RFA nilikua naipenda ila sitaisikiliza tena...

Kwanini umeziacha ITV na Channel 10? Hizi TV zote zimenunuliwa kwamfano Channel10 humueka Polepole wakijuwa sasa amerubuniwa na CCM na atampotosha lowassa. .Kiilivyo walitakiwa wamsimamishe na mwanasiasa wa upinzani sikuizi wameacha anakaa pale anamtukana lowassa tu. upuuzi kabisa

ITV wao hutaarisha kipindi kinaitwa malumbano ya hoja lakini kwamfano akisimama mtu kujenga hoja ikiigusa Chama cha mapinduzi wale watangazaji humkatisha au kumjia juu kwa masuali na kumpuuza na kumnyanganya mike. Lakini kwa kuusema upinzani hutulia.

Juzi kafulila alijenga hoja kwamba wale walioiba hela kwa lumbesa Stanbink bank ccm haijawataja badala yake wanamshika lowassa basi mtangazji kamkatisha gafla.

John Myika juzi wakati anajaribu kueleza ujio wa lowasa na ilani za Chadema alikatishwa pale pale wakati yule Prof Kitila wa ACT aliachiwa akausema upinzani sanna

Alafu taarifa za habari ITV kwa mfano mikutano ya ccm wanajaribu kuchukua kwa mwembwe Zaidi na kuupamba mda mrefu wakati wa kutangaza lakini upinzani wanaonyesha kiduch wanakata na unawakuta kabisa wale watangazaji hawana furaha kutangaza habari za upinzani ni lisilo basi tu. Yaani mimi naichukia ITV sana ni shirika bovu zaidi.
 
Wadau poleni na mihangaiko ya kila siku.

Napenda kujua kuwa TBC FM, TBC TV, TBC TAIFA, UHURU FM& GAZETI LA UHURU, SAHARA MEDIA (Startv, na Radio Free)

Ni mali ya CCM?
Maana naona wamekua wakitangaza habari za CCM tu na kuuponda UPINZANI..

Ukiona wametangaza habari ya Upinzani basi ujue ni ya kukosoa.

Nimekerwa sana... RFA nilikua naipenda ila sitaisikiliza tena...
serikali mpya ya UKAWA itaifuta tbc na kuianzisha upya tena kwa jina lingine na wafanyakazi wapya kabisa ili kujenga imani kwa wananchi , tbc ilipofikia hivi sasa ni aibu !
 
kampeni za ufunguzi za ukawa/lowasa pale jangwani walirusha. angalia rekodi zako vizuri.

Mimi nilishangaa kuona TBCCM wamerusha press conference ya slaa, lakini ya Gwajima hawakurusha wala mkutano wa ufunguzi wa kampeni wa lowassa!!! alafu wanajiita ni televisheni ya taifa pu.mbafuuuuuuu!!!
 
subiri tu kuanzia tarehe 26 oktoba utaanza kuzipenda tena hizo tv.

Wadau poleni na mihangaiko ya kila siku.

Napenda kujua kuwa TBC FM, TBC TV, TBC TAIFA, UHURU FM& GAZETI LA UHURU, SAHARA MEDIA (Startv, na Radio Free)

Ni mali ya CCM?
Maana naona wamekua wakitangaza habari za CCM tu na kuuponda UPINZANI..

Ukiona wametangaza habari ya Upinzani basi ujue ni ya kukosoa.

Nimekerwa sana... RFA nilikua naipenda ila sitaisikiliza tena...
 
Wadau poleni na mihangaiko ya kila siku.

Napenda kujua kuwa TBC FM, TBC TV, TBC TAIFA, UHURU FM& GAZETI LA UHURU, SAHARA MEDIA (Startv, na Radio Free)

Ni mali ya CCM?
Maana naona wamekua wakitangaza habari za CCM tu na kuuponda UPINZANI..

Ukiona wametangaza habari ya Upinzani basi ujue ni ya kukosoa.

Nimekerwa sana... RFA nilikua naipenda ila sitaisikiliza tena...
Navyojua mimi ili habari irushwe hewani lazima ilipiwe, kama wahusika hawalipii TBC na RFA, basi sio rahisi kuwaona hewani kwenye hizo media.
 
Wadau poleni na mihangaiko ya kila siku.

Napenda kujua kuwa TBC FM, TBC TV, TBC TAIFA, UHURU FM& GAZETI LA UHURU, SAHARA MEDIA (Startv, na Radio Free)

Ni mali ya CCM?
Maana naona wamekua wakitangaza habari za CCM tu na kuuponda UPINZANI..

Ukiona wametangaza habari ya Upinzani basi ujue ni ya kukosoa.

Nimekerwa sana... RFA nilikua naipenda ila sitaisikiliza tena...

Akili yako finyu. Haina uwezo wa kuchanganua mambo katikati ya mahaba binafsi yasiyotumia akili.
Mbona huhoji kuhusu tanzania daima, mwanahalisi, mtanzania, rai, nk. nenda ukalale hazimo kichwani mwako.
 
Kwa umoja wetu tuikatae ccm hapo oct 25.halafu wakuu namna ya kujihakiki ktk daftari please tunafanyaje?huku kuna usiri na haieleweki,ni huku kanda ya kaskazini.
 
Mwaka huu na majira na msimu huu itabid tuseme msemo mmoja wa marekani.

Haijalishi Kama Ataleta Maendeleo au la! Tutamchagua Obama Kuuonyesh a Ulimwengu Kuwa Marekani ni ya Kila Mtu.

Na sisi watanzania Kwa Umoja wet bila kujali tofauti zetu ndogo nyakati hizi ni nizakusema haijalishi kama Lowassa ataleta Maendeleo au la! ni wakati wa kumchagua LOWASSA wa CHADEMA/ UKAWA ili pia pamoja na ILANI elimu bure, katiba mpya, kufungua mawasiliano hasa reli ya kati pia uuonyesha na kuudhihirishia Ulimwengu kuwa Tanzania Siyo ya cicimu pekee.

Tuma ujumbe huu kwa Watanzania wasiopungua 1000 ili kuamsha na kuchochea mabadiliko ya kweli. Fursa hii ya Mabadiliko tukiipoteza itatuchukua miaka 30 tukikumbuka Mwaka 2015 tulijinyima mabadiliko ya katiba, mfumo, maendeleo.

Lowasa Mabadiliko
Mabadiliko Lowassa.

Samahani pia kama utakwazika imebidi kuonyesha Uzalendo kwa Taifa letu lenye miaka 54 ya Uhuru.

Maajabu likipitwa na hata jirani zetu Kenya aliyepata Uhuru kwa kuchelewa miaka 3 sasa ametupita kimiundo mbinu, elimu, utalii, kilimo, kiuchumi, Katiba Mpya,nk.

Na hata Rwanda iliyotoka vitani miaka ya 90 inatupita ingawa sisi ndio tuliowahi pata Uhuru, kujaliwa Rasilimali hata zisizo duniani mpaka zikaitwa majina yetu kama Tanzanite, mito, maziwa, Bahari-Bandari, vivutio vya utalii, ardhi yenye rutuba rasilimali adimu duniani ili tuanze kukimbia badala ya kutambaa kimaendeleo.

Mkuu nakubaliana nawe kabisa kuwa ni wakati wa mabadiliko

Ila si kwa lowasa, no longer anapendwa kiasi gani, au anaushawishi kiasi gani..
Anaharufu ya wizi na ufisadi, na hajawahi kukanusha.

Kumbuka hapo hajawa rais, je akiwa rais??

Umetoa mfano mzr sana wa obama, ila umesahau kuwa huo mfano hauingii kwa edo, maana haufanani, wenzetu ilikuwa ni issue ya ubaguzi wa rangi..

Leo tz mtu unaemtaja ni Mwizi, shukru kwa kuwa hajapandishwa kizimbani kwa kinga aliyo nayo ila kunasiku atapanda.

Pole kwa kuwa ikuru hainunuliwa kwa fedha, ila kwa uadilifu na utu wema,..

Hapa kazi tu..
 
Back
Top Bottom