Mkami Lum
JF-Expert Member
- Feb 23, 2013
- 414
- 96
Wadau poleni na mihangaiko ya kila siku.
Napenda kujua kuwa TBC FM, TBC TV, TBC TAIFA, UHURU FM& GAZETI LA UHURU, SAHARA MEDIA (Startv, na Radio Free)
Ni mali ya CCM?
Maana naona wamekua wakitangaza habari za CCM tu na kuuponda UPINZANI..
Ukiona wametangaza habari ya Upinzani basi ujue ni ya kukosoa.
Nimekerwa sana... RFA nilikua naipenda ila sitaisikiliza tena...