Hivi TBC ina kazi gani

Hivi TBC ina kazi gani

franci45

Member
Joined
Nov 8, 2023
Posts
61
Reaction score
93
Hiv TBC ni chombo cha Taifa au chombo cha siasa za mrengo 1 wa CCM au ni dodoki la kuosha na kusambaza propaganda za serikali, nao wachukue basi usajili kwenye Baraza la vyama vya siasa maana hawaripoti habari za wananchi zaidi ni mapambio kuanzia asubuhi mpaka asubuhi.

Mnajidanganya sana kwanza siku hizi hamna mtu anafuatilia TV zaidi mitandao ya kijamii.
 
Hiv TBC ni chombo cha Taifa au chombo cha siasa za mrengo 1 wa CCM au ni dodoki la kuosha na kusambaza propaganda za serikali, nao wachukue bas usajili kwenye Baraza la vyama vya siasa maan hawaripot habar za wananchi zaid ni mapambio kuanzia asubuh mpaka asubuhi.

Mnajidanganya sana kwanza sikuhiz hamna mtu anafatilia TV zaidi mitandao ya kijamii.
State propaganda mashine, tv ilikuwa tvt since tido awe fired imekuwa praise and worship
 
Mnapata wapi muda wa kukaa na kuangalia TBC ? hao ni waimba mapambio tu, bendera fata upepo
 
Kwanini kupoteza muda na nguvu zako kwa TBC?
 
Msikilize Eshe Muhidini mkurugenzi wa vipindi wa chombo hicho cha umma utajua changamoto wanazokutana nazo hasa matukio ya oktoba 29. Yuko hewani katika kipindi cha marudio cha siku ya televisheni duniani
 
Nilikuwa namlalamikia wife kwanini anaependa kuangalia mitamthilia iliyotafsiriwa kwa kiswahi Azam, lkn kwa Sasa naona Bora anabase kule kuliko angekuwa anahusudu tibisii
 
Msikilize Eshe Muhidini mkurugenzi wa vipindi wa chombo hicho cha umma utajua changamoto wanazokutana nazo hasa matukio ya oktoba 29. Yuko hewani katika kipindi cha marudio cha siku ya televisheni duniani
Hii si ya juzi hapo?
 
Nachoka Mimi nikiwatazama na kuwasikiliza
 
1.Ni nani aliagiza watu wapigwe risasi na kuuawa vile?
2.Wapigaji risasi wale ni wakina nani na wapo wapi?
3.Ni kwanini uchaguzi ufanyike kwa namna OVU kwa kiwango kile?
4.Watu waliokufa wapo wapi?
5.Wataongozaje taifa la watu wasiowataka?
6.Ni nani anayeteka na kuua watanzania?
Waliotekwa wapo wapi?

Haya maswali wayatafakari na wayazingatie
 
Back
Top Bottom