Thibitisha...Tatizo li wapi ikiwa kanena ukweli!!
Mimi ni mkristo ila nadhani huo ndio ukweli haswa.
Hapana anadanganya maana taarifa nilizo nazo kutoka wahenga ni kwamba baada ya kuchukua TAN kutoka Tanganyika na kuongezapo ZAN kutoka Zanzibar na tayari wakawa wamepata TANZAN walikaa wakatulia wakaona lengo ni kupata TANZAN yenye NIA moja, sasa wakataka kuwekapo ile NIA na kwa bahati mbaya ama nzuri kukawepo na N tayari iliyo chotwa Zanzibari ikabidi N waitupilie mbali wawekepo IA pekee ili kukamilisha TAN na ZAN zenye (N)IA moja ndo ikawa imezaliwa TANZANIA yaani Tanganyika na zanzibari zenye nia moja.Nasikiliza TBC kwenye kipindi hiki cha saa tano na nusu (mirindimo) mtangazaji anazungumzia kuundwa kwa jina la TANZANIA ! akisema imetokana na Tanganyika na zanzibar lakini kilichonichefua.. ni pale anaposema herufi mbili za mwisho IA. zinawakilisha jina la mtu aliyebuni jina hilo na Dini yake yaani (Iqbar) (Ahmadiya..) hiyo moja ni Taasisi ya Dini na hilo jina lake..
Kinacholeta ukakasi ni hivi kwenye redio ya Taifa unapotaja taasisi ya dini kuunda jina la Taifa unakuwa umekusudia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kedekede kilichonikera ni kutamka taasisi ya Dini kwenye historia ya Nchi.. hata kama mtunzi alikuwa mwanachama wa hiyo jumuiya sidhani kama angetoa hiyo hoja kuwa I A inawakilisha jina lake na taasisi yake ya dini angekubaliwa..Umekerwa na kwamba wewe si mfuasi wa dini hiyo?mbona kuna vitu vingi vya kinaswara sisi hatusemi?pambana na hali yako,Acha ubaguzi wa kidini,kama ukweli ndio huo asiseme?
Hivi kule kwenu kuna chochote ulibakiza?Tunashukulu mtoa post kwa maoni yako. Kama umekelwa zaidi Hama nchi
Sent using Jamii Forums mobile app