Hivi Tanzania ni Dar es Salaam tu?

Hivi Tanzania ni Dar es Salaam tu?

Joined
Oct 15, 2016
Posts
56
Reaction score
49
Binafsi huwa napata wakati mgumu sana kuelewa maana toka serikali hii ya awamu ya tano iingie madarakani ( I voted for) naona mambo mengi yanafanyika dar tu, sie mikoani ni kama tumetupwa!

Miradi mingi ya kimaendeleo na hata fedha anazotoa mh Rais zinaelekezwa dar tu, vipi kwa mikoa mingine?
Mie ni mkaazi wa kanda ya ziwa, Shinyanga ambapo Mh. Rais alivuna kura nyingi sana ikiwemo na yangu,

kiukweli bado sijaona mema niliyoahidiwa na mh wakati anapita kuniomba kura, kanda ya ziwa vijana wengi wanategemea UCHIMBAJI MDOGOMDOGO WA MADINI KAMA DHAHABU, toka mh ameingia tumefukuzwa kwenye maeneo yetu ya uchimbaji kwa jina la WAWEKEZAJI!

Maisha yamekuwa ni magumu sana kwa sababu kile kidogo tulichokitegemea miaka mingi nacho tumenyanganywa!
 
ndo kwanza mwaka wa kwanza kuwa na subira mkuu bado miaka mingine minne utafikiwa tu pia ujue Mh. anakaa Dar hivyo lazima nyumbani kuwe vizuri kwanza.
 
Mlimchagua sababu mama yake ni Msukuma.... CHOTARA LA Kinyarwanda na Sukumas Tabia mbili tofauti Mwili kikazi ni wa Kisukuma na Tabia ya Kinyarwanda hii combination lazima namba muosome sana tu..

Next time Chagua Tajiri kama Trump wajua matajiri akili zao ni kuishi kwa raha tu sasa mlichagua masikini kweli kweli mtaishi kama yeye tu like father like son.
 
ha

tatzo sio hilo ila tunaposikia mabilioni yanaelekezwa dar tu inatuuma sana mkuu, huku sie ni wachimbaji na wakulima! kwenye madini tumefukuzwa, mvua nazo zimekwama huku hali ni ngumu sanw kiongozi na january ndio hapatoshi
 
Mlimchagua sababu mama yake ni Msukuma.... CHOTARA LA Kinyarwanda na Sukumas Tabia mbili tofauti Mwili kikazi ni wa Kisukuma na Tabia ya Kinyarwanda hii combination lazima namba muosome sana tu..

Next time Chagua Tajiri kama Trump wajua matajiri akili zao ni kuishi kwa raha tu sasa mlichagua masikini kweli kweli mtaishi kama yeye tu like father like son.

ahadi zake zilikua ni TAMU mno!
 
Soon Serikali itahamia Dodoma. Dar itakuwa mkoani.
 
Mkuu huu ndiyo upumbavu wa hili linchi. Mapato mengi yanapotea mikoa mingine kisa wanaamini mapato yapo Dar tu.
 
Binafsi huwa napata wakati mgumu sana kuelewa maana toka serikali hii ya awamu ya tano iingie madarakani ( I voted for) naona mambo mengi yanafanyika dar tu, sie mikoani ni kama tumetupwa!
Miradi mingi ya kimaendeleo na hata fedha anazotoa mh Rais zinaelekezwa dar tu, vipi kwa mikoa mingine?
Mie ni mkaazi wa kanda ya ziwa, Shinyanga ambapo mh. rais alivuna kura nyingi sana ikiwemo na yangu, kiukweli bado sijaona mema niliyoahidiwa na mh wakati anapita kuniomba kura, kanda ya ziwa vijana wengi wanategemea UCHIMBAJI MDOGOMDOGO WA MADINI KAMA DHAHABU, toka mh ameingia tumefukuzwa kwenye maeneo yetu ya uchimbaji kwa jina la WAWEKEZAJI!
Maisha yamekuwa ni magumu sana kwa sababu kile kidogo tulichokitegemea miaka mingi nacho tumenyanganywa!

Janaume zima linakuja kulia lia hapa kwamba Serikali hailipi chakula, halafu Wanawake zenu wakiwamwaga na kuchepuka kutafuta Wanaume wa Ukweli mnakuja kulia lia hapa, Fanya kazi wew mtoto wa kiume, hii nchi ni kubwa kukaa kutegemea Serikali ije ikulishe, ni ujike huo!
 
Mkuu fanya mpango na wewe uje huku huku Dar.

Sisi tupo na dar na tunaisoma namba na wewe karibu tuisome namba kwa pamoja ila bora hata uko mtalima japo mazao ya chakula kuliko huku labda ulime juu ya lami.
 
t
Janaume zima linakuja kulia lia hapa kwamba Serikali hailipi chakula, halafu Wanawake zenu wakiwamwaga na kuchepuka kutafuta Wanaume wa Ukweli mnakuja kulia lia hapa, Fanya kazi wewd mtoto wa kiume, hii nchi ni kubwa kukaa kutegemea Seriklai ije ikulishe ni ujike huo!

nimepitia post zako kwa haraka nimegundua upeo wako mdogo sana! Siwezi kurumbana na wewe, nasubiri ma critical thinkers waje wachangie vitu vyenye tija maana hujui hata kama kaxi mojawapo ya serikali ni kukuandalia mazingira ma
xuri wewe kwenye shughuli zako ili upige hatua
 
Binafsi huwa napata wakati mgumu sana kuelewa maana toka serikali hii ya awamu ya tano iingie madarakani ( I voted for) naona mambo mengi yanafanyika dar tu, sie mikoani ni kama tumetupwa!
Miradi mingi ya kimaendeleo na hata fedha anazotoa mh Rais zinaelekezwa dar tu, vipi kwa mikoa mingine?
Mie ni mkaazi wa kanda ya ziwa, Shinyanga ambapo mh. rais alivuna kura nyingi sana ikiwemo na yangu, kiukweli bado sijaona mema niliyoahidiwa na mh wakati anapita kuniomba kura, kanda ya ziwa vijana wengi wanategemea UCHIMBAJI MDOGOMDOGO WA MADINI KAMA DHAHABU, toka mh ameingia tumefukuzwa kwenye maeneo yetu ya uchimbaji kwa jina la WAWEKEZAJI!
Maisha yamekuwa ni magumu sana kwa sababu kile kidogo tulichokitegemea miaka mingi nacho tumenyanganywa!
Vizuri sana endeleeni kuisoma namba
 
t

nimepitia post zako kwa haraka nimegundua upeo wako mdogo sana! Siwezi kurumbana na wewe, nasubiri ma critical thinkers waje wachangie vitu vyenye tija maana hujui hata kama kaxi mojawapo ya serikali ni kukuandalia mazingira ma
xuri wewe kwenye shughuli zako ili upige hatua

Jifunze kwanza kuandika vizuri, hilo liko chini ya uwezo wako kabla ya kulilia msaada wa Serikali!
 
Mkuu fanya mpango na wewe uje huku huku Dar.

Sisi tupo na dar na tunaisoma namba na wewe karibu tuisome namba kwa pamoja ila bora hata uko mtalima japo mazao ya chakula kuliko huku labda ulime juu ya lami.

sasa mkuu tukija wote dar si wengine tutakua panya road tu! Sie hukuhuku tu ila atutengenezee mazingira mazuri tu
 
Mkuu huu ndiyo upumbavu wa hili linchi. Mapato mengi yanapotea mikoa mingine kisa wanaamini mapato yapo Dar tu.
i

Inauma sana huku kwetu kuna migodi kibao na mikubwa Tanzania nzima lakini maji tu ni ya shida, barabara vumbi nk
 
Binafsi huwa napata wakati mgumu sana kuelewa maana toka serikali hii ya awamu ya tano iingie madarakani ( I voted for) naona mambo mengi yanafanyika dar tu, sie mikoani ni kama tumetupwa!
Miradi mingi ya kimaendeleo na hata fedha anazotoa mh Rais zinaelekezwa dar tu, vipi kwa mikoa mingine?
Mie ni mkaazi wa kanda ya ziwa, Shinyanga ambapo mh. rais alivuna kura nyingi sana ikiwemo na yangu, kiukweli bado sijaona mema niliyoahidiwa na mh wakati anapita kuniomba kura, kanda ya ziwa vijana wengi wanategemea UCHIMBAJI MDOGOMDOGO WA MADINI KAMA DHAHABU, toka mh ameingia tumefukuzwa kwenye maeneo yetu ya uchimbaji kwa jina la WAWEKEZAJI!
Maisha yamekuwa ni magumu sana kwa sababu kile kidogo tulichokitegemea miaka mingi nacho tumenyanganywa!

😵 na mtazid kujinyonga mwaka huuu majinga majinga nyie zile push up ndio ziliwapa mahope ee ? 🙄😵😵
 
Back
Top Bottom