Hivi Tanzania kuna ugaidi?

Na kuita raisi dikteta ni sawa ?
Kuwaambia wafadhili na wawekezaji wasije Tanzania ni sawa.?
Mimi nadhani wamewasaidia na ajenda zenu juu ya Tanzania kutopewa misaada.

Kwa hiyo acha tu iwe hivyo, tukomeshe ugaidi kwanza. Tufungue nnchi.

Ujinga wa kiwango hiki ndio tatizo kubwa la nchi hii! Hata tafsiri tu ya ugaidi huijui ndio unakuja kukinganisha na mambo ya kisiaasa??
Kwani viongozi walipowaita Chadema covid, vibaraka wa mabeberu - zilikuwa ni shutuma za ugaidi?

Kama kuita kiongozi dikteta au kuzuia misaada ni makosa - mbona hawajashtakiwa kwa makosa hayo.

Kichwa chako kitabaki cha kunyolea panki, kubeba ndoo ya maji - hakina faida nyingine yoyote.
 
Mbowe gaidi
Masheikh wa uamsho magaidi
Wakina lema waliwahi kukamatwa kwa ugaidi
Maalim seif gaidi

Hivi huu ugaidi huwa unafanyiwa wapi?
Mbona hatuoni hayo matukio mtaani ya kishamiri?
Tukiendelea na haya Mambo ya kusema ugaidi ugaidi tutafukuza wawekezaji?

Je hii nchi iliojaaa magaidi wengi si hatari Sana kuishi mbona tunawashangaa wakimbizi (lissu,lema nk)
Na je ni kweli ugaidi umefikia hsdi kwa viongozi wa vyama.?
 
Na kuita raisi dikteta ni sawa ?
Kuwaambia wafadhili na wawekezaji wasije Tanzania ni sawa.?
Mimi nadhani wamewasaidia na ajenda zenu juu ya Tanzania kutopewa misaada.

Kwa hiyo acha tu iwe hivyo, tukomeshe ugaidi kwanza. Tufungue nnchi.
Nani aliifunga hiyo nchi?
 
Yaweza kuwa hao Viongozi wetu Wazito akina KIJAZI, MFUGALE nk wanapulizwa kitu cha MRUSI Stuka kijana hiii ni karne ya Kizazi cha Laaana usimteteee mtu na nafsi yake. Kuna kundi linalengwa kwa Series ya hivi vifo siyo Burreee!
utopolo
 
Mbowe gaidi
Masheikh wa uamsho magaidi
Wakina lema waliwahi kukamatwa kwa ugaidi
Maalim seif gaidi

Hivi huu ugaidi huwa unafanyiwa wapi?
Mbona hatuoni hayo matukio mtaani ya kishamiri?
Tukiendelea na haya Mambo ya kusema ugaidi ugaidi tutafukuza wawekezaji?

Je hii nchi iliojaaa magaidi wengi si hatari Sana kuishi mbona tunawashangaa wakimbizi (lissu,lema nk)
TANZANIA Ukiwa UPINZANI Hata Ukishikwa UGONI Utashtakiwa kwa UGAIDI ila UKIVAMIA CLOUDS kama MAKONDA wewe ni MZALENDO au UKIKUTWA na SILAHA kama hizi Wewe ni Raia Mwema
20210724_232840.jpg

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom