Hivi Tanzania kuna NANO SIM?

Relativity

Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
60
Reaction score
15
Hivi bongo kuna nano sim,na kama hamna nitafanyaje kama nina simu inayohitaji nano sim?
 
Nenda tigo watakusaidia hasa mlimani city waliwahi kunitengenezea yangu
 
dah yani hio kauli ni kama unauliza hv tanzania kuna mtu anamiliki iphone latest?

zipo kaka tena kwa maelfu. ila zinakuwa ni za kukata na mashine za kukatia ni 10,000 tu
 
ama kweli watu huwa hatujui kutafuta maarifa............
anyways yaani wewe unaona nano sim ni ishu ilihali wenzio wanaongelea nano carriers,
 
dah yani hio kauli ni kama unauliza hv tanzania kuna mtu anamiliki iphone latest?

zipo kaka tena kwa maelfu. ila zinakuwa ni za kukata na mashine za kukatia ni 10,000 tu

chief-mkwawa somo kidogo kuhusu hiyo nano tafadhali.

Ni nini hasa au ni hz micro sim?
Zinafanyejr kazi?
 
Last edited by a moderator:
chief-mkwawa somo kidogo kuhusu hiyo nano tafadhali.

Ni nini hasa au ni hz micro sim?
Zinafanyejr kazi?

Utofauti wa majina ya kadi za SIM husababishwa na size tu ya kadi ya SIM...

Kwa kawaida kuna aina nne tofauti za vipimo vya kadi ya SIM...

1. SIM Card (kwa sasa hakuna simu inayomeza hii card yote, enzi zile za tritel ndio kulikuwa na simu zenye kumeza SIM card)
2. Mini SIM/Standard SIM
3. Micro SIM
4. Nano SIM

Kwa kuwa utofauti wa vipimo ndio pekee unaotambulisha utofauti wa majina, hivyo utendaji kazi wa kadi hizi hautofautiani hata kidogo.



​
 

Safi sana bidada, na mm nashkuru kwa kunitoa tongo tongo
 


Niliiona post yako ila nikataka niijibu kwa picha na kwakuwa wengi wameshatoa majibu ya kutosha hii itakuwa kama nyongeza tuu.....

Hiyo ya upande wa kushoto sikuikata zipo zinazouzwa hivyo hivyo unafanya ku swap tuu... Ya pili yake ni ya kukata na ya tatu ni size tuliyoizoea...

*****
Zote zinapatikana Tanzania


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Relativity mi nilidhani sijui ni kitu gani. kweli hii ni dharau kwa nchi yangu kweli makampuni yote haya kusiwr na watu wanakata size hiyo ya line.

Nakuhalikishia kuna vitu vinakuwa vishafika masaa machache baada ya kuingia sokoni.

Watch out Tanzania hii sio ile ya miaka 47 Kweusi.
 
Last edited by a moderator:

We mbayaaaa.hongera upo kaml na reference juuuu
 
Nakumbuka micro SD card yangu niliikata kwa kiwembe kwa msaada wa youtube
 
Safi sana bidada, na mm nashkuru kwa kunitoa tongo tongo

Unaanzaje kutaja jinsia ya mtu usiye mfahamu?

Mimi ni mwanaume mwenye korodani mbili na dushelele mkuu...
 
We mbayaaaa.hongera upo kaml na reference juuuu

Hii ndio gharama ya kuwa mwanasayansi mkuu, unapotoa maelezo ya ufafanuzi ni lazima yaambatane na mifano hai ili maelekezo yawe bayana...
 
Hii ndio gharama ya kuwa mwanasayansi mkuu, unapotoa maelezo ya ufafanuzi ni lazima yaambatane na mifano hai ili maelekezo yawe bayana...

Sawa sawa mwanasayansi.. I am plzd to know you and to knw ya professional mkuu. Basi poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…