Hivi tanzania kuna Hackers??

Hii taarifa mbona ya uongo asa.? TTCL wenyewe wamekanusha kua taarifa za report haziendani na uhalisia wa idadi ya wafanya kazi wake ambao data zao zimekua stolen...

Sasa ulitaka wakubali kirahisi kwamba wameibiwa Kanzi Data ili kiwe Kichochoro cha Wadukuzi kupiga pesa mara kwa mara? Sio mambo yote utaweza kuambiwa hadharani!
 
Sasa ulitaka wakubali kirahisi kwamba wameibiwa Kanzi Data ili kiwe Kichochoro cha Wadukuzi kupiga pesa mara kwa mara? Sio mambo yote utaweza kuambiwa hadharani!
NI WACHACHE HUKUBALI WAMEDUKILIWA
 
mm navyojua hacker ni mdukuaji ivyo wa kitu chenye tahaluma nacho ivyo huwez sema bongo hakuna wapo weng sana
 
Ila wa bongo wengi wao skuizi ni hawa[emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…