Hivi tanzania kuna Hackers??

naomba tusaidiane kuiangusha hii

Welcome to the CIA Web Site — Central Intelligence Agency
www.cia.gov
 
Waulize wasaniii wanavyolizwa n insta account zao.....ndio utajua kuwa wapo tena hapa magu land wala sio N korea
 
Kwa hacker yeyote professional naomba msaada wako, naomba unipm nashida
 
Kungekuwa kuna chaku hack ungewaona tu au kuwasikia hackers wa tz
 
wapo mkuu kuna mmoja niliona kapekenyua hio site ya hawa tatu mzuka mpk mwenyewe niliogopa maana hadi kufuta data alikuwa na uwezo sema alisema yy anafamya sio kuaribu ila anajikomaza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…