Gluk
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 1,859
- 3,023
Habari.
Naomba nisiwachoshe niende moja kwenye mada na pia nipate majibu kwa wahusika. Swali langu ni je ni kweli Tanzania tuna cybercrime kweli au hatuna?
Na kama ipo kwanini matapeli wa mtandao wanazidi kutamba licha ya kusajiri laini kwa vidole na kurasimisha tukarasimisha?
Kuna mdau wa mmoja katapeliwa M7 ila cha ajabu eti polisi wameshindw kumpata mharifu huyo.
Je, ni nini kinachokwamisha upatikanaji wa wezi wa mtandaoni au wanawazidi maarifa polisi?
Kwa mwenye majibu ya haya maswali naomba anipe majibu.