getrusa
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 2,150
- 1,824
Naangalia jinsi huyu mkenya anavyoiongelea Tanzania hapa najiuliza hivi Tanzania hatuna watu pale Multchoice?
Japo la pili Taswira ya Taifa inachafuliwa sana na wanasiasa uchwara,! Namsikia Mtangazaji hapa anasema viongozi wa upinzani walisema wachezaji wetu wamepewa malipo kidogo kambini je hili
Lina ukweli?
Kama halina ukweli kuna kila sabbu ya kumuwajibisha Maulidi kitenge kwa kuchafua Taswira ya Nchi yetu, sisi sio wanyonge hivyo kama tunavyoelezwa hapa Super sport.
Nawasilisha.