Hivi tabia hasa ya wanawake ni ipi?

Hivi tabia hasa ya wanawake ni ipi?

IMG-20150610-WA0018.jpg
 
Mkuu usisahau wasanii pia ni wengi sana hata kwenye nyumba za ibada wengi huenda wakiwa na agenda zao sirini..
Mwanaume ni lazima uwe na jicho la kimungu kwenye kuchagua mwanamke wa kuishi nae
 
Mwanaume ni lazima uwe na jicho la kimungu kwenye kuchagua mwanamke wa kuishi nae
"Mke mwema nani awezaye kumuona,? " nakubaliana na maneno haya kwa asilimia nyingi sana!
 
Hata usitake kujua tabia ya Wanawake Mkuu. Maana kila siku tuna jambo jipya. Ndiyo maana Maandiki yanasema ishi nao kwa ajili.
 
Hata wewe unaweza kumjua mke mwema zipo njia nyingi
Mkuu njia nyingi za rohoni? Au za mwilini..!? Sabbu wewe ukioa kwa njia za rohoni kisha yeye akawa wa mwilini.. hilo balaa lake..
Linasomeka namna hii katika biblia.. " heri kukaa katika pembe ya nyumba kuliko kuishi na mwanamke mkorofi"
 
Hata usitake kujua tabia ya Wanawake Mkuu. Maana kila siku tuna jambo jipya. Ndiyo maana Maandiki yanasema ishi nao kwa ajili.
Umenena vema sana mkuu. Najaribu kuwaza endapo dunia hii itaongozwa na kutawaliwa na wanawake sijui itakuwaje.
 
Mkuu njia nyingi za rohoni? Au za mwilini..!? Sabbu wewe ukioa kwa njia za rohoni kisha yeye akawa wa mwilini.. hilo balaa lake..
Linasomeka namna hii katika biblia.. " heri kukaa katika pembe ya nyumba kuliko kuishi na mwanamke mkorofi"
Nianze na swali ,hivi wewe hukuchukua muda gani kumpenda mwanamke na kumuweka kwenye hisia zako?
 
Hata usitake kujua tabia ya Wanawake Mkuu. Maana kila siku tuna jambo jipya. Ndiyo maana Maandiki yanasema ishi nao kwa ajili.
Tafsiri yake tuishi na nyie wanawake kwa akili kwa kuwa nyie ni viumbe dhaifu
 
Nianze na swali ,hivi wewe hukuchukua muda gani kumpenda mwanamke na kumuweka kwenye hisia zako?
Kuvutiwa naye? (Kumtamani) au kumpenda bila kuwa na hitaji lolote la kimwili juu yake?
 
Omba, funga na sali kila unapohitajika kufanya hivyo.

Omba upewe Akili za kuishi nao hata robo.
Ndiyo maana wakaitwa mapambo ya nyumbani.
 
Mi mwenyewe mwanamke kuna saa nafanyaga mambo hafu baadae najishangaa, lakini sio mambo ya kijinga, ni mambo ya kujaribu jaribu mambo kujua kiundani undani loh. Ishini na sisi kwa akili maana wanawake sisi hupenda kuwasoma udhaifu wenu
 
Halafu bado wanadai wanaume ndo hawaeleweki..[emoji134]
Unaweza jikuta unatafuta miujiza ya Mungu wakati kuishi na mwanamke pia ni "muujiza"!
Nyie hamueleweki kweli?
 
Back
Top Bottom