Basi nakutafutia mume mwenzio.Huko kukuacha kwenyewe shughuli yake siyo ya kitoto.! [emoji53][emoji53]
Tabia ya mwanamke ni wewe mwanaume utakavyo mlea
BTW pole kwa kutendwa
Mkuu usisahau wasanii pia ni wengi sana hata kwenye nyumba za ibada wengi huenda wakiwa na agenda zao sirini..Mwanamke ni kama kitoto kichanga kinahitaji kulelewa vizuri ila kwa sharti moja tu kama ni msafi wa roho,mwenye hofu na Mungu,mwenye real love nk ila sio kama wengine hao vichwa maji
Aisee pesa ndio zinawafikisha kileleniWe tupe hela tu, hayo mengine huwezi yaelewa.
Ukiona hivyo ujue umemmendea binti wa kazi hivyo hasira zinahamia kwake.[emoji28][emoji28][emoji23] hivi na ile hali ya kutowatendea vema wasichana wa kazi? (Manyanyaso). Nayo inapaswa mwanaume aombewe?
Aiseee[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Mimi kama mwanamke, umenitoa kwetu Lushoto ukanileta Dar.
Kwahiyo ni jukumu lako kunilisha, kunivesha, kunihudumia, kunipa unyumba (ukizubaa nakucheat), kunipeleka saloon.
Ukiona umeshindwa, ruksa kuniacha
Aisee pesa ndio zinawafikisha kileleni
KaribuAiseee[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Kadri unavyopanua nini??[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23] bahati mbaya pesa haijawahi kuwa na ukomo "kadri unavyopanua ndivyo watu wanavyotamani"!
Basi msilalamike pale mnapotimiza majukumu yenu.Mwanaume ni kichwa,kiongozi. Haya yote lazima yatuhusu
Ukitaka kumwagia petrol kwenye moto we jarbu kuwatetea hao wadada wa kaz utaeleza una mpango gani naoSijatendwa mkuu nimekuwa naangalia tabia ya mamsapu anavyo watendea wasichana wake wa kazi hapa home imenifanya nitafakari mengi sana.!
Naomba samari naona uvivu kusomaTabia ya mwanamke ni wewe mwanaume utakavyo mlea
BTW pole kwa kutendwa
Mkwe analalamika wanawake kila awafanyiacho hawaelewekii!!Naomba samari naona uvivu kusoma
Sisi wenyewe hatuwaelewi.Mkwe analalamika wanawake kila awafanyiacho hawaelewekii!!
Hapo sasa anaona vyetu vyake havioniSisi wenyewe hatuwaelewi.
Kadri unavyopanua nini??