RICARDO KAKA
JF-Expert Member
- May 26, 2012
- 865
- 338
Hawa Star TV, kwa kweli mimi naona wanapoteza mvuto siku hizi. Yaani mtu unapata hasira mpaka basi. Juzi wakati wa TUONGEE ASUBUHI walimleta jamaa mmoja, wao wanasema eti ni mchambuzi, sasa sijui ni mchambuzi wa pumba au maharage. yaani jamaa ni Mweupe vibaya mno, hajui kitu. Wanamleta mtu mweupe kujadili mambo mazito ya ESCROW! nikakasirika vibaya mno, maana mwanzo mwisho jamaa hamna kitu.
Leo tena wakati wa ile ile TUONGEE ASUBUHI, Paul MABUGA, kamualika jamaa huyo huyo, yaani jamaa mweupe kichwani eti achambue mambo ya Ugaidi, hasa ishu ya Kenya, yaani jamaa haju kitu, bado STAR TV wanasema ndo mchambuzi.
Jamaa mwenyewe anaitwa BITURO KAZERI. huyu jamaa ni mweupe, kwa walioangalia kipindi naamini watakubaliana na mimi. Mbona watu wenye uwezo mkubwa wapo kwanini msiwaalike?
Binafsi naipenda sana STAR TV, lakini kwa mtindo huu wa kualika watu watupu kichwani ndo mnasema wachambuzi, kituo chenu kitakimbiwa.
Naomba nitoe pongezi kwa Dotto Bulendu, huyu jamaa atafika mbali sana katika utangazaji. na mgeni akisuasua kujibu au kuchambua anamchana Live pale pale kwamba kajipange.
USHAURI:
Msilete watu ambao ni weupe.