Mr Kazembe
JF-Expert Member
- Mar 24, 2019
- 392
- 529
Naitaka hiyo special number ya Halotel, Ila kama ni gharama nisitozwe zaidi ya buku tano.
TTCL nilipewa special number bure kabisa, Nilitoa jero tu ya simcard.
Hao Halotel laini zao wanafanya biashara ni lazima upigwe hela ndefu. Nilienda pale halotel kariakoo nikataka kubadili laini yangu ya 3g ili nipewe 4g wakataka 3000 nikatimka zangu nimebaki na 3g mpaka leo. Ila pale tigo msimbazi nimebadilishiwa laini ya tigo 3g kwenda 4g bure kabisa.Habari wakuu napenda mnijuze kuhusu hili Natumia laini yangu ya voda ****377457
Nataka nipate laini ya halotel ****377457
Namaanisha special number. ningependa kufahamu huduma hii ipo kwa halotel na inagharimu kias gani ahsanten
Sio kweli mimi nimetengeneza special number mwezi ulio pita tu kwa 1000. Kikubwa hizo digits 6 za mwisho zikiwa kwenye system tu na ikawa haina mtumiaji kazi inakuwa imeisha.Hao Halotel laini zao wanafanya biashara ni lazima upigwe hela ndefu. Nilienda pale halotel kariakoo nikataka kubadili laini yangu ya 3g ili nipewe 4g wakataka 3000 nikatimka zangu nimebaki na 3g mpaka leo. Ila pale tigo msimbazi nimebadilishiwa laini ya tigo 3g kwenda 4g bure kabisa.
Hao, wezi.Hao Halotel laini zao wanafanya biashara ni lazima upigwe hela ndefu. Nilienda pale halotel kariakoo nikataka kubadili laini yangu ya 3g ili nipewe 4g wakataka 3000 nikatimka zangu nimebaki na 3g mpaka leo. Ila pale tigo msimbazi nimebadilishiwa laini ya tigo 3g kwenda 4g bure kabisa.