Hivi special number inagharimu bei gani Halotel?

Hivi special number inagharimu bei gani Halotel?

Mr Kazembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2019
Posts
392
Reaction score
528
Habari wakuu napenda mnijuze kuhusu hili Natumia laini yangu ya voda ****377457

Nataka nipate laini ya halotel ****377457

Namaanisha special number. ningependa kufahamu huduma hii ipo kwa halotel na inagharimu kias gani ahsanten
 
Haina gharama yoyote zaidi ya gharama za kawaida za kusajili line. Nenda kwenye duka la mtandao husika sio kwa wale wanaosajili mitaani. Waeleze shida yako. Wao watangaalia kwenye system kama namba unayoitaka ipo utasajiliwa lakini pia inawezakana ukapata mfanano wa namba kadhaa na sio zote.
Mi mtumiaji wa
vodacom ****566445
Halotel ****766445
Tigo ****656445
 
Wana gharama hatari, mi nilishaenda hapo kariakoo wanakwambia bei ya chini 10,000 na kuendelea, yani kama ipo kwenye system ni 10,000 kama haipo itakugharimu hata 20,000 na kuendelea
 
𝓜𝓲 𝓷𝓲𝓶𝓮𝔁𝓲𝓹𝓪𝓽𝓪 𝓱𝓲𝔃𝓸 𝓷𝓪𝓶𝓫𝓪 𝔃𝓪𝓷𝓰𝓾 𝔃𝓮𝓷𝔂𝓮 𝓾𝓯𝓪𝓷𝓪𝓷𝓸 𝓶𝔀𝓲𝓼𝓱𝓸𝓷𝓲....𝓴𝔀𝓪 𝓫𝓮𝓲 𝔂𝓪 𝓴𝓪𝔀𝓪𝓲𝓭𝓪 𝔂𝓪 𝓴𝓾𝓼𝓪𝓳𝓲𝓵𝓲 𝓵𝓲𝓷𝓮
 
Wanaangalia tu Kama hio namba ipo au mwenye nayo kaacha kuitumia Basi unapewa wewe.hamna gharama za ziada Mimi ninayo hio namba inafanana na Voda ila namba nne za mwishoni
 
Halotel ni bure mbona, me nilipewa na wakala tu aliiseach kwenye system akaipata akanisajiria
Naitaka hiyo special number ya Halotel, Ila kama ni gharama nisitozwe zaidi ya buku tano.

TTCL nilipewa special number bure kabisa, Nilitoa jero tu ya simcard.
 
Habari wakuu napenda mnijuze kuhusu hili Natumia laini yangu ya voda ****377457

Nataka nipate laini ya halotel ****377457

Namaanisha special number. ningependa kufahamu huduma hii ipo kwa halotel na inagharimu kias gani ahsanten
Hao Halotel laini zao wanafanya biashara ni lazima upigwe hela ndefu. Nilienda pale halotel kariakoo nikataka kubadili laini yangu ya 3g ili nipewe 4g wakataka 3000 nikatimka zangu nimebaki na 3g mpaka leo. Ila pale tigo msimbazi nimebadilishiwa laini ya tigo 3g kwenda 4g bure kabisa.
 
Sio kweli mimi nimetengeneza special number mwezi ulio pita tu kwa 1000. Kikubwa hizo digits 6 za mwisho zikiwa kwenye system tu na ikawa haina mtumiaji kazi inakuwa imeisha.
 
Hao Halotel laini zao wanafanya biashara ni lazima upigwe hela ndefu. Nilienda pale halotel kariakoo nikataka kubadili laini yangu ya 3g ili nipewe 4g wakataka 3000 nikatimka zangu nimebaki na 3g mpaka leo. Ila pale tigo msimbazi nimebadilishiwa laini ya tigo 3g kwenda 4g bure kabisa.
Hao, wezi.
Nenda dukani kwao..!
 
Kuna namba kuzikuta kwenye system ni ishu hadi uwe na connection.

Mfano 06**333 777
Na. 06** 777733

Kuzipata kwa jero au buku ni ngumu
 
Gharama za kawaida za kusajili laini...mimi mwaka jana nimesajili yangu tena wakala mwenyewe ndio alinitoa suggestion mimi hata sikuwa na habari
 
Back
Top Bottom