Hivi Slaa ni mzulu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Slaa ni mzulu?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Abdalla Khamis, Jul 1, 2011.

 1. A

  Abdalla Khamis Member

  #1
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  uasili wa slaa unapaswa kuchunguzwa maana binafsi ananichanganya kumjua kuwa,yeye ni mtanzania halisi au ana asili ya uzulu. Bila shaka si kwaida kumshuhudia mtanzania halisi kuwa natabia ya kupenda shari,uchochezi na vita,lakini huwezi kuwatenganisha wazulu na sifa hizi


  ukimchunguza vizuri slaa utaona kuwa, ni mtu anayeshabiana na tabia za kizulu za kupenda vita,shari na uchochezi.evi slaa,wa arusha wamekukosea nini? Mbona unawasababishia majanga? Kumbuka wewe ndie uliyesababisha mauaji ya watu wale watatu na 30 kujeruhiwa vibaya.jua kuwa,jamii inakulaani wewe kwa kusababisha mauaji yale kwani ungelitii amri ya jeshi la usalama, maafa yale yasingelitokea.


  Kaka slaa,jua kuwa watu wa arusha ni watu kama wengine ambao wanahitaji kufurahia amani hii iliyopo.kwanini maumivu yamaafa yale hayajaisha halafu unataka kuwaletea mengine? Sisi wenye tanzania yetu hatupendi shari,uchochezi wala vita ukiyataka hayo nenda huko kwa wazulu ambao sasa wametulia maana wamejua umuhimu wa amani.usitumie hiyo convircing power ulinatyo kuwaangamiza watu waso na hatia.huku ukidai unawaonea huruma,kitu ambacho hakiingii akili hata kidogo,utawaoneaje huruma huku ukiwaangamiza kwa kuwatengeneza kuwa tayari kuangamia?
   
 2. MANI

  MANI Platinum Member

  #2
  Jul 1, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Slaa,Slaa kwa nini CCM unamuogopa huyu mtu ?
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  wahi kwenye mkutano wa nape njaa itakumaliza
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Crap bin Pumba
   
 5. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  wazulu wanapigana vita? duh..very low accusations
   
 6. M

  Marytina JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Certificate in Terrorism studies
   

  Attached Files:

 7. A

  Abdalla Khamis Member

  #7
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wewe hujasoma,hufai humu maana unaonekana hata hujui historia ya wazulu.kwa taarifa yako wajerumani walienda kuwachukuwa wazulu huko msumbiji chini ya bwana wissman ili kuwasaidia vita dhidi ya mwiingereza( ww2) baada ya kuwaona wanafaa na wana munkali wa kupenda vita. Veta shule kwanza halafu ndo uingie humu.
   
 8. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kwanini usimfananishe na wahehe waliopigana na wajerumani, ila binafsi tungekuwa na wazulu kama mia hivi nchi ingekombolewa mapema toka mkoloni CCM.
   
 9. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Yule bwana si mpenda shari, ila hapendi manyanyaso, na uonevu wowote kwa wananchi. Ni mkweli, jasiri na mwenye msimamo. Kwenye suala yanayohitaji seriousness anakuwa serious hasa. Hii ni sifa binafsi ya mtu. Haina uhusiano na kabila. Japo ni ukweli pia watu wa maeneo ya Arusha hasa wamasai na wairaq - wengi wao - kwa tabia si watu wa blaa-blaa. Ni watu wa "neno lao". Wanachokisema ndicho wanachokitenda, hawana rangi mbili.
   
 10. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Mungu ana watu wengi na anatupenda woote!
  basi ungesema DR anaundugu na watu wa uarabuni,
  Si wajinga ninyi mlimuita mhaini?
   
 11. 2

  2simamesote Senior Member

  #11
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 27, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hilo nalo neno,
   
 12. 2

  2simamesote Senior Member

  #12
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 27, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hebu waambie coz naona huyu ka2mwa na chichiemu
   
 13. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #13
  Jul 1, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280

  ha ha ha ha u've made my day
   
 14. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #14
  Jul 1, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Evi Slaa ndio nani?
   
 15. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #15
  Jul 1, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Slaaa ni mtu mdogo sana, kilichopo ni yeye kujiheshimu kwani hawezi kushindana na dola. Anaweza kupotezwa muda mfupi tu na msijue ameenda wapi, system sio mchezo wanamuheshimu na yeye ajiheshimu
   
 16. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #16
  Jul 1, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Madaya huu ni ubaguzi mkubwa!!! Hivi hata kama ni kweli kwamba mtu una babu yako au baba yako katokea nchi nyingine lakini wewe umezaliwa na kukulia Tanzania ni tatizo!!. Hii tu sio ubaguzi bali ni mawazo ya kimasikini sana hapa USA raisi Obama baba yake alikuwa Mkenya lakini lakini sheria imemlinda na sasa ni raisi. Mtoto wangu akizaliwa hapa USA anaweza kuwa chochote anachotaka.
   
 17. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #17
  Jul 1, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
   
 18. k

  kiloni JF-Expert Member

  #18
  Jul 1, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wewe kilaza tofautisha kati ya amani na UZUZU. mwite chochote Rais wangu.
  Majambazi ni lazima tuyakamate. wote tuna uchungu kama Slaa. You Just shuuuuuuut uppppppppppp!
   
 19. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #19
  Jul 1, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Kweli Mary, huyu si tu ana njaa, bali ana utindio wa ubongo pia.
   
 20. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #20
  Jul 1, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  n NAPE PEOPLE IN ACTION. YOU WILL NEVER MAKE IT. HIKI NI KIZAZI KIPYA CHA WATZ. SOON YOU WILL REALIZE IT.
   
Loading...