Hivi Slaa ni mzulu?

Hivi Slaa ni mzulu?

Slaaa ni mtu mdogo sana, kilichopo ni yeye kujiheshimu kwani hawezi kushindana na dola. Anaweza kupotezwa muda mfupi tu na msijue ameenda wapi, system sio mchezo wanamuheshimu na yeye ajiheshimu

Mambo ya kutishana yamepitwa na wakati ndugu yangu. Wangekuwa na uwezo huo wangekuwa wamefanya hivyo siku nyingi!!!! Lakini amini usiamini dola inamuogopa Dr. Slaa kama ukoma, ila nyie wapiga debe mnafikiri Dr. ni mtu rahisi kihivyo!!!

Tiba
 
Slaaa ni mtu mdogo sana, kilichopo ni yeye kujiheshimu kwani hawezi kushindana na dola. Anaweza kupotezwa muda mfupi tu na msijue ameenda wapi, system sio mchezo wanamuheshimu na yeye ajiheshimu
Dola ni umma wa Tanzania na siyo hivyo vyombo vinavyolinda majambazi wa magamba.
Slaa ni Rais wa UMMA.
 
uasili wa slaa unapaswa kuchunguzwa maana binafsi ananichanganya kumjua kuwa,yeye ni mtanzania halisi au ana asili ya uzulu. Bila shaka si kwaida kumshuhudia mtanzania halisi kuwa natabia ya kupenda shari,uchochezi na vita,lakini huwezi kuwatenganisha wazulu na sifa hizi

ukimchunguza vizuri slaa utaona kuwa, ni mtu anayeshabiana na tabia za kizulu za kupenda vita,shari na uchochezi.evi slaa,wa arusha wamekukosea nini? Mbona unawasababishia majanga? Kumbuka wewe ndie uliyesababisha mauaji ya watu wale watatu na 30 kujeruhiwa vibaya.jua kuwa,jamii inakulaani wewe kwa kusababisha mauaji yale kwani ungelitii amri ya jeshi la usalama, maafa yale yasingelitokea.

Kaka slaa,jua kuwa watu wa arusha ni watu kama wengine ambao wanahitaji kufurahia amani hii iliyopo.kwanini maumivu yamaafa yale hayajaisha halafu unataka kuwaletea mengine? Sisi wenye tanzania yetu hatupendi shari,uchochezi wala vita ukiyataka hayo nenda huko kwa wazulu ambao sasa wametulia maana wamejua umuhimu wa amani.usitumie hiyo convircing power ulinatyo kuwaangamiza watu waso na hatia.huku ukidai unawaonea huruma,kitu ambacho hakiingii akili hata kidogo,utawaoneaje huruma huku ukiwaangamiza kwa kuwatengeneza kuwa tayari kuangamia?

ID ya ngapi hii??? Nakumbuka uliniambia utaingia JF kwa fujo tangu mwezi wa 5.Kwa nini hutumii ID yako inayoeleweka? Au ni kwa vile umekuwa mkubwa kwenye chama sasa??
 
uasili wa slaa unapaswa kuchunguzwa maana binafsi ananichanganya kumjua kuwa,yeye ni mtanzania halisi au ana asili ya uzulu. Bila shaka si kwaida kumshuhudia mtanzania halisi kuwa natabia ya kupenda shari,uchochezi na vita,lakini huwezi kuwatenganisha wazulu na sifa hizi

ukimchunguza vizuri slaa utaona kuwa, ni mtu anayeshabiana na tabia za kizulu za kupenda vita,shari na uchochezi.evi slaa,wa arusha wamekukosea nini? Mbona unawasababishia majanga? Kumbuka wewe ndie uliyesababisha mauaji ya watu wale watatu na 30 kujeruhiwa vibaya.jua kuwa,jamii inakulaani wewe kwa kusababisha mauaji yale kwani ungelitii amri ya jeshi la usalama, maafa yale yasingelitokea.

Kaka slaa,jua kuwa watu wa arusha ni watu kama wengine ambao wanahitaji kufurahia amani hii iliyopo.kwanini maumivu yamaafa yale hayajaisha halafu unataka kuwaletea mengine? Sisi wenye tanzania yetu hatupendi shari,uchochezi wala vita ukiyataka hayo nenda huko kwa wazulu ambao sasa wametulia maana wamejua umuhimu wa amani.usitumie hiyo convircing power ulinatyo kuwaangamiza watu waso na hatia.huku ukidai unawaonea huruma,kitu ambacho hakiingii akili hata kidogo,utawaoneaje huruma huku ukiwaangamiza kwa kuwatengeneza kuwa tayari kuangamia?

No matter what you have wrote whether there is some subsitence on it or not, you have done your job!!!! Just rush to Nape's office and sign for your "POSHO".

Tiba
 
Mimi nilidhani ni Mzulu kutokana na tabia yake ya kuoa wake za watu, maana huo sio utamaduni wa kitanzania.
 
slaaa ni mtu mdogo sana, kilichopo ni yeye kujiheshimu kwani hawezi kushindana na dola. Anaweza kupotezwa muda mfupi tu na msijue ameenda wapi, system sio mchezo wanamuheshimu na yeye ajiheshimu

system lazima imuheshimu sababu ndio rais mtarajiwa 2015. Au vipi wajaribu kumpoteza waone umma utavyoreact. Misri itakuwa ni cha mtoto.
 
Asingalikuwa Slaa ungejuaje msamiati wa UFISADI? Dr.Slaa ni mtetezi wa wanyonge ,anayependa haki itendeke na sheria zote zifuatwe! Kwanini serikali haimtii gerezani? Kwa vile ni msema ukweli wenye ushahidi!!!!!!!
 
Slaaa ni mtu mdogo sana, kilichopo ni yeye kujiheshimu kwani hawezi kushindana na dola. Anaweza kupotezwa muda mfupi tu na msijue ameenda wapi, system sio mchezo wanamuheshimu na yeye ajiheshimu
Ama kweli wewe ni 'Fictiousbrain'! Umesahau dola waliweka vinasa sauti hotelini kwa Dr. Slaa? That was the stupidiest move made by whomever did it.
 
Your post is more or less like a piece of shit. kafie mbali. ******** we! ila mzuri kwako ni mkweere aliyeahidi maisha bora kwa kila mtanzania halafu yamekuwa mabaya mara nane. Fikiri kabla ya kuleta upuuzi wako hapa, tatizo kinachowasumbua ni mazoea, hakuna maendeleo ya kweli yatakayokuja kwa wajinga. ni mpaka waamke
uasili wa slaa unapaswa kuchunguzwa maana binafsi ananichanganya kumjua kuwa,yeye ni mtanzania halisi au ana asili ya uzulu. Bila shaka si kwaida kumshuhudia mtanzania halisi kuwa natabia ya kupenda shari,uchochezi na vita,lakini huwezi kuwatenganisha wazulu na sifa hizi

ukimchunguza vizuri slaa utaona kuwa, ni mtu anayeshabiana na tabia za kizulu za kupenda vita,shari na uchochezi.evi slaa,wa arusha wamekukosea nini? Mbona unawasababishia majanga? Kumbuka wewe ndie uliyesababisha mauaji ya watu wale watatu na 30 kujeruhiwa vibaya.jua kuwa,jamii inakulaani wewe kwa kusababisha mauaji yale kwani ungelitii amri ya jeshi la usalama, maafa yale yasingelitokea.

Kaka slaa,jua kuwa watu wa arusha ni watu kama wengine ambao wanahitaji kufurahia amani hii iliyopo.kwanini maumivu yamaafa yale hayajaisha halafu unataka kuwaletea mengine? Sisi wenye tanzania yetu hatupendi shari,uchochezi wala vita ukiyataka hayo nenda huko kwa wazulu ambao sasa wametulia maana wamejua umuhimu wa amani.usitumie hiyo convircing power ulinatyo kuwaangamiza watu waso na hatia.huku ukidai unawaonea huruma,kitu ambacho hakiingii akili hata kidogo,utawaoneaje huruma huku ukiwaangamiza kwa kuwatengeneza kuwa tayari kuangamia?
 
uasili wa slaa unapaswa kuchunguzwa maana binafsi ananichanganya kumjua kuwa,yeye ni mtanzania halisi au ana asili ya uzulu. Bila shaka si kwaida kumshuhudia mtanzania halisi kuwa natabia ya kupenda shari,uchochezi na vita,lakini huwezi kuwatenganisha wazulu na sifa hizi

Na watu wambeya, wezi na wanafiki asili yao ni wapi? Maana si kawaida kumshuhudia Mtanzania halisi akichunguza-chunguza maisha wa mwenzake, au kuiba mali za umma au kapakana mafuta kwa mgongo wa chupa! Ni muda muafaka sasa kujua asili ya hawa watu maana wametuharibia nchi sana hivyo ni vema warudishwe kwao ili kulinusuru Taifa la Tanzania.
 
Ungetoka humu ndani na ukseme hiki unachosema ktk mkutano wa hadhara uone mawe na hasira za wananch zinavyokuangukia, maana siku hizi wananch wameamka na chadema wako wengi. Itisha mkutano na ulopoke huu upumbafu wako uone.
 
uasili wa slaa unapaswa kuchunguzwa maana binafsi ananichanganya kumjua kuwa,yeye ni mtanzania halisi au ana asili ya uzulu. Bila shaka si kwaida kumshuhudia mtanzania halisi kuwa natabia ya kupenda shari,uchochezi na vita,lakini huwezi kuwatenganisha wazulu na sifa hizi

ukimchunguza vizuri slaa utaona kuwa, ni mtu anayeshabiana na tabia za kizulu za kupenda vita,shari na uchochezi.evi slaa,wa arusha wamekukosea nini? Mbona unawasababishia majanga? Kumbuka wewe ndie uliyesababisha mauaji ya watu wale watatu na 30 kujeruhiwa vibaya.jua kuwa,jamii inakulaani wewe kwa kusababisha mauaji yale kwani ungelitii amri ya jeshi la usalama, maafa yale yasingelitokea.

Kaka slaa,jua kuwa watu wa arusha ni watu kama wengine ambao wanahitaji kufurahia amani hii iliyopo.kwanini maumivu yamaafa yale hayajaisha halafu unataka kuwaletea mengine? Sisi wenye tanzania yetu hatupendi shari,uchochezi wala vita ukiyataka hayo nenda huko kwa wazulu ambao sasa wametulia maana wamejua umuhimu wa amani.usitumie hiyo convircing power ulinatyo kuwaangamiza watu waso na hatia.huku ukidai unawaonea huruma,kitu ambacho hakiingii akili hata kidogo,utawaoneaje huruma huku ukiwaangamiza kwa kuwatengeneza kuwa tayari kuangamia?
Nashangaa hii "hoja" ya uraia imechelewa - ndio zenu CCM, hamchelewagi kumbambikizia mtu kuwa si raia pale tu anapoonekana kuwakera na kuwanyima usingizi. rejea mbinu kama hiyo ilivyotumika kwa Jenerali Ulimwengu. nashangaa mpaka sasa ilikuwa haijaanza kusemwa. Hongera kwa kuonesha una akili katika watu wa CCM, kukumbuka "panga" hili la zamani! Naam, mtu yeyote "mkorofi" si raia!!
 
Ama kweli wewe ni 'Fictiousbrain'! Umesahau dola waliweka vinasa sauti hotelini kwa Dr. Slaa? That was the stupidiest move made by whomever did it.

Acha kusingizia dola, aliyeweka vipaza sauti ni Rose Kamili ili amnase mwanaume wake mkware, na kwa taarifa yako Rose anazo sauti na picha za matukio ya huyo padri na ndicho kilichompa ubunge. Hili la hotelini Dodoma lni tukio la kukumbukwa sana kwa Slaa na Rose na lina kumbukumbu za picha.
 
Bado una mawazo ya enzi za ujima
 
Slaaa ni mtu mdogo sana, kilichopo ni yeye kujiheshimu kwani hawezi kushindana na dola. Anaweza kupotezwa muda mfupi tu na msijue ameenda wapi, system sio mchezo wanamuheshimu na yeye ajiheshimu
Hoja za kipuuzi namna hii kawaambie pale msikiti wa mwembechai
 
Wewe unayesema DR.Slaa anasababisha fujo una tatizo la kupambanua mambo. Mwaka 2000 June niliona kwa macho yangu Dr.Slaa akiokoa maisha ya katibu wa ccm kijiji fulani.

Ilikuwa siku ya jua kali na Dr.Slaa alikuwa na mkutano wa hadhara wananchi wa kijiji hicho, wakamwambia twende ufanye mkutano pale kwenye kivuli, DR. akasita kidogo maana miti ilikuwa karibu na jengo la ccm. Wananchi wakamwambia twende tumepanda sisi, Mkutano ukahamia,DR Slaa alipoanza tu kuhutubia akatokea huyo mwenda wazimu wa ccm akaanza kuleta fujo.

Ndugu yangu, nilichoshuhudia ni kivumbi katibu huyo alipigwa na kufundishwa adhabu, DR Slaa alifanya kazi ya ziada kumponya yule ndugu na kifo................... sasa hap fujo za DR. Slaa ni zipi, akihoji ubadhirifu wa nchi ufanywao na ccm ndiyo fujo ???????????????
 
Jarbu kutafakari upya and then ndo uandke thrd nyngne,tumia muda wako kumjua vzur dk slaa alaf umfananishe na uzulu,hiki sio kizaz cha ndio mzee,tunataka mabadiliko kwa gharama yoyote,kama dk slaa anapenda vita na uchochez bas watanzania wote especialy vijana tunapenda vita na uchochez,haturud nyuma,umetumwa wewe
 
GeniusBrain,
Kama huna unachoamini na kupigania maishani, ukikosa "principles" katika maisha utabaki kuwa popo, na matokeo ni uwoga usio kifani. Nimezaliwa mara moja na nitakufa mara moja. Hivyo "kupotezwa" is not an issue. Let them do it na hapo malengo yatakuwa yametimia!

Back
Top Bottom