Adilinanduguze2
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 1,206
- 1,595
Acheni ujinga wa kulilia humu kwenye social media, mnayo sila kubwa ambayo ni kura
Kama mmezitumia vibaya ni nani wa kumlaumu

Kosa kubwa ni kuikumbatia CCM.Ukiondoa mkoa wa kigoma, mikoa ya kusini ndiyo mikoa iliyo baki nyuma kimaendeleo kwa muda mrefu, miaka ya huko nyuma ilikuwa mfanyakazi ukihamishiwa kusini , njia sahihi ya kujinusuru na adha za huko ilikuwa ni kuachana na hiyo kazi.
Barabara nzuri tumepata kwenye miaka ya tisini. Mungu akatuonea huruma kwa umaskini wetu akatuletea gesi, ambayo nayo iligeuka kuwa kama laana badala ya neema, kwani iliamsha mzozo mkubwa wa kuigombania, badala ya kujenga vinu vikubwa na kuwekeza pale Mtwara na kufungua fursa za ajira kwa wanchi. Badala yake mitaro ikachimbwa na ikafirishwa kwenda Dar.
Hilo nalo likapita, tukasema potelea mbali, kaniki ni rangi yake hata uifue vipi itabaki kuwa nyeusi.
Tukahamia kwenye zao letu pendwa la KOROSHO , napo bei ikavurugwa , tukabaki kushuhudia mapambano kati ya wafanya biashara na serikali. Na hii imepelekea tumepata hasara kubwa sana, sasa hatujui tufanye nini, kwani kila linalo onekana kama mbaraka kwetu watu wa kusini serikali ya CCM inaligeuza kuwa laana kwetu, hivi na sisi tukiamua kusema kuwa CCM ni laana kwa mikoa ya kusini tutakuwa tumekosea kweli ?.
Sisi tunasema sawa, ila 2020 ndo CCM mtaifahamu vizuri uhalisia wa sura na tabia yetu, enough is enough. Tuta wachezesha SINDIMBA mpaka basi.( Pungo kwa nchele, pungo kwa nchele, haishindi dona. )Eee Mwenyezi Mungu tunakuomba utupatie tena neema nyingine.
Elimu hii hii ya akina propesa kibudu?Maovu haya ya wanasiasa yananifanya nisome sana ili siku moja niiokomboe kusini yangu.Mimi kwa wanakusini, nitakuwa kama yule kijana aliyeikomboa Giningi toka kwa utawala wa Bi kirembwe.
Ukiondoa mkoa wa kigoma, mikoa ya kusini ndiyo mikoa iliyo baki nyuma kimaendeleo kwa muda mrefu, miaka ya huko nyuma ilikuwa mfanyakazi ukihamishiwa kusini , njia sahihi ya kujinusuru na adha za huko ilikuwa ni kuachana na hiyo kazi.
Barabara nzuri tumepata kwenye miaka ya tisini. Mungu akatuonea huruma kwa umaskini wetu akatuletea gesi, ambayo nayo iligeuka kuwa kama laana badala ya neema, kwani iliamsha mzozo mkubwa wa kuigombania, badala ya kujenga vinu vikubwa na kuwekeza pale Mtwara na kufungua fursa za ajira kwa wanchi. Badala yake mitaro ikachimbwa na ikafirishwa kwenda Dar.
Hilo nalo likapita, tukasema potelea mbali, kaniki ni rangi yake hata uifue vipi itabaki kuwa nyeusi.
Tukahamia kwenye zao letu pendwa la KOROSHO , napo bei ikavurugwa , tukabaki kushuhudia mapambano kati ya wafanya biashara na serikali. Na hii imepelekea tumepata hasara kubwa sana, sasa hatujui tufanye nini, kwani kila linalo onekana kama mbaraka kwetu watu wa kusini serikali ya CCM inaligeuza kuwa laana kwetu, hivi na sisi tukiamua kusema kuwa CCM ni laana kwa mikoa ya kusini tutakuwa tumekosea kweli ?.
Sisi tunasema sawa, ila 2020 ndo CCM mtaifahamu vizuri uhalisia wa sura na tabia yetu, enough is enough. Tuta wachezesha SINDIMBA mpaka basi.( Pungo kwa nchele, pungo kwa nchele, haishindi dona. )Eee Mwenyezi Mungu tunakuomba utupatie tena neema nyingine.
Yaarabii usichague, pamoja na yeye mtoa duwa !Eee Mwenyezi Mungu sikia kilio chetu, waangamize hawa wanaotutesa, wasagesage na kesho uwatie kwenye moto mkali.
Kwani hao ni Watanzania?Mbona wahaya hawajui kukataa ila maendeleo wanayo!!
Waliandama kutunyima gesi usipotoshe !Mnalalamika? Si ndo nyie mliandamana kuipongeza serikali......
Hao ambao hawakuchagua ccm wana nini !?kuna kitu nimegundia yale maeneo ambayo ni ngome ya ccm, ndo maeneo ccm inayasomesha namba vizuri, kusini bado hamjalimia meno. mpaka mjute kuichagua ccm.
Tanzania watu waelewa wapo Zanzibar hakuna mambo ya kuonewa kule.
Ukiondoa mkoa wa kigoma, mikoa ya kusini ndiyo mikoa iliyo baki nyuma kimaendeleo kwa muda mrefu, miaka ya huko nyuma ilikuwa mfanyakazi ukihamishiwa kusini , njia sahihi ya kujinusuru na adha za huko ilikuwa ni kuachana na hiyo kazi.
Barabara nzuri tumepata kwenye miaka ya tisini. Mungu akatuonea huruma kwa umaskini wetu akatuletea gesi, ambayo nayo iligeuka kuwa kama laana badala ya neema, kwani iliamsha mzozo mkubwa wa kuigombania, badala ya kujenga vinu vikubwa na kuwekeza pale Mtwara na kufungua fursa za ajira kwa wanchi.
Badala yake mitaro ikachimbwa na ikafirishwa kwenda Dar.
Hilo nalo likapita, tukasema potelea mbali, kaniki ni rangi yake hata uifue vipi itabaki kuwa nyeusi.
Tukahamia kwenye zao letu pendwa la KOROSHO , napo bei ikavurugwa , tukabaki kushuhudia mapambano kati ya wafanya biashara na serikali. Na hii imepelekea tumepata hasara kubwa sana, sasa hatujui tufanye nini, kwani kila linalo onekana kama mbaraka kwetu watu wa kusini serikali ya CCM inaligeuza kuwa laana kwetu, hivi na sisi tukiamua kusema kuwa CCM ni laana kwa mikoa ya kusini tutakuwa tumekosea kweli ?.
Sisi tunasema sawa, ila 2020 ndo CCM mtaifahamu vizuri uhalisia wa sura na tabia yetu, enough is enough.
Tuta wachezesha SINDIMBA mpaka basi.( Pungo kwa nchele, pungo kwa nchele, haishindi dona. )Eee Mwenyezi Mungu tunakuomba utupatie tena neema nyingine.