Mnachagua sana....mtaoaje??
Nyumba gari na pesa eeeehhhh....hivyo vina mchango kidogooooo (kwa mke kweli kweli, unless kwa anayetaka kukuchuna)Kama nimepigana hadi nikapata mnavyovitaka nyie kama majumba,Magari,kazi nzuri na pesa kwanini nisiwe selective??Jiulize kwanini Mzee Mengi ambaye ni mkristo kamuoa Jackline Ntyuyabaliwe.
Hahaha kuna thread ya kuhusu hilo nimeianzisha leoNyumba gari na pesa eeeehhhh....hivyo vina mchango kidogooooo (kwa mke kweli kweli, unless kwa anayetaka kukuchuna)
Mwanamke anahitaji zaidi ya magari.....
I wish ningeweza kuelezea..
Nimeiona.....Hahaha kuna thread ya kuhusu hilo nimeianzisha leo
Hahha hata wasomi hawawataki Kuna thread humu inasema wanaoolewa ni la 7 na form 4 tuMko selective mnataka wasomi
Watabisha hadi kesho, ila I wish wangeliangalia hilo kwa jicho la 3. Sema inategemea mtu anataka mwanamke wa aina ganiNimeiona.....
Yaani i wish kaka zetu hawa wangejua.
Maana mwisho wa siku wanaishia kujishangaa wana majumba na magari ila hawana wake
YaaaapWatabisha hadi kesho, ila I wish wangeliangalia hilo kwa jicho la 3. Sema inategemea mtu anataka mwanamke wa aina gani
Yani unawaonea hadi huruma maskini, sema hawashauriki kama T.I.D. Anyway maisha yanasonga mbonaYaaaap
Happ kwenye kuchagua aina ya mke hapooooo wakiongezea na ujuaji wa jf...mmmmh
Kwani nyie wanawake wasomi hamko selective?! Tumuombe tu Mungu atupe Imani & Upendo.Nimeiona.....
Yaani i wish kaka zetu hawa wangejua.
Maana mwisho wa siku wanaishia kujishangaa wana majumba na magari ila hawana wake
Unaweza js be 'content' na ulichonachoNatamanigi sana maisha ya hao watu but shida ni kwamba siwezi kuayaishi! but it seems wanaenjoy sanaaa..
Yawezekana wapo selective, ila anaeamua kuoa ni mwanaume sio mwanamkeKwani nyie wanawake wasomi hamko selective?! Tumuombe tu Mungu atupe Imani & Upendo.