Usihangaike sana na mapenzi, angaika sana na hatma yako. Usihangaike sana na ndoa, angaika sana na furaha ya maisha yako. Kwenye ndoa unapata kinoja tu, ambacho ni social respect. Vingine vyote ambavyo vinavyopatikana kwenye ndoa, vinapatikana pia nje ya ndoa. Huna haja ya kuwapa watu nafasi ya kukuchagulia maisha ya kuishi, ishi upendavyo.
Saidia maskini na mayatima.ni jisni ya kutumia pesa ndio shida mfano kwangu haziishi
ukimuomba Mungu kwa juhudi anakuletea mtu utakaempenda na yeye kukupenda,Mungu atakutengenezea conducive environment kwa wewe kukutana na umpendae.Why unakuta mtu unayempenda wewe wala hajali hisia zako.Lakini ambao huwapendi unakuta yanakugandaganda kama ruba mwisho wa siku unajikuta unaolewa tu na usiyempenda hasa kwa upande wetu sie wadada maana ukisema uringeringe unaweza jikuta unazeekea kwenu but why hii kitu inakuwa ngumu kukuta wote mko real in love.Au ni mie tu kwangu ndo inakuwa vice versa.
Binadamu vibur tu na tamaa wala hamna lolote...utawezaje kuishi na mtu ambae hujampenda.....je waweza kuolewa na kichaa kwa kuogopa kuzeekea kwenu...tamaa zinatuponza....Why unakuta mtu unayempenda wewe wala hajali hisia zako.Lakini ambao huwapendi unakuta yanakugandaganda kama ruba mwisho wa siku unajikuta unaolewa tu na usiyempenda hasa kwa upande wetu sie wadada maana ukisema uringeringe unaweza jikuta unazeekea kwenu but why hii kitu inakuwa ngumu kukuta wote mko real in love.Au ni mie tu kwangu ndo inakuwa vice versa.
Shida ni kwamba unataka unaempenda kwanza....uliona wapi.....aliepewa jukumu la kupenda ni mume, then mke ana jukumu la kutii....ukiwa na adabu na heshima utampata tu atakaekupenda kwa dhati.....Utampenda tuu siku zinavyosonga mbele!
Ukitaka ufurahie ndoa basi fanya juu chini uolewe na anayekupenda! Naamin utaishi kama Malkia
Ndo mana nasema tutawakubalia tuu wanaotupenda!Shida ni kwamba unataka unaempenda kwanza....uliona wapi.....aliepewa jukumu la kupenda ni mume, then mke ana jukumu la kutii....ukiwa na adabu na heshima utampata tu atakaekupenda kwa dhati.....
Ni wewe tu... hili tatizo lako ni kubwa saana linahitaji vipimo yakinifu njoo nikupime.Why unakuta mtu unayempenda wewe wala hajali hisia zako.Lakini ambao huwapendi unakuta yanakugandaganda kama ruba mwisho wa siku unajikuta unaolewa tu na usiyempenda hasa kwa upande wetu sie wadada maana ukisema uringeringe unaweza jikuta unazeekea kwenu but why hii kitu inakuwa ngumu kukuta wote mko real in love.Au ni mie tu kwangu ndo inakuwa vice versa.
Haya nishawapenda nikubalieni basiNdo mana nasema tutawakubalia tuu wanaotupenda!
Aah, wewe hutufai tutakua wengi sana!Haya nishawapenda nikubalieni basi
Hahahhaha! So umeamua kuchangamkia fursa0769011514 nitafute
Utakuwa wewe tu maza waifu.Aah, wewe hutufai tutakua wengi sana!
Mr Romantic[emoji12] [emoji12]
Man, shoot your shot[emoji3] [emoji3]Utakuwa wewe tu maza waifu.
And I'll be Mr romantic onile tu swank..
Tafuta hiyo formula kisha tuisovuHaya nishawapenda nikubalieni basi