ni utamaduni wa zamani wa kimapokeo mwanamke ilikua kuondoka kwenu mpaka utakapochukuliwa na mume wako.Kwanini uzeekee kwenu??? Kwako bila kuolewa huwezi kuishi maisha yakujitegemea na kusimama kama mwanamke??
Pole sana mara nyingi huwa inakuwa hivyo esp kwa wadada. so komaa na hapo ulipo tu.Yani kuna kitu kinaumiza mno nafsi yangu yani unakuta mtu unayempenda wewe wala hajali hisia zako.Lakini ambao huwapendi unakuta yanakugandaganda kama ruba mwisho wa siku unajikuta unaolewa tu na usiyempenda hasa kwa upande wetu sie wadada maana ukisema uringeringe unaweza jikuta unazeekea kwenu but why hii kitu inakuwa ngumu kukuta wote mko real in love.Au ni mie tu kwangu ndo inakuwa vice versa.
Inawezekana bado mdogo but kwa upande wetu madada kuna umri ukifika huwa unahitaji kuwa na mji wako ili uheshimike na sio kurandaranda usione watu wanakesha makanisani kulilia ndoa wanapenda ni age ndiyo huwa inasukuma.Kwanini uzeekee kwenu??? Kwako bila kuolewa huwezi kuishi maisha yakujitegemea na kusimama kama mwanamke??
Hiyo ni nature. Unayempenda hakupendi, na anayempenda hampendi. na anayekupenda humpendi.Why unakuta mtu unayempenda wewe wala hajali hisia zako.Lakini ambao huwapendi unakuta yanakugandaganda kama ruba mwisho wa siku unajikuta unaolewa tu na usiyempenda hasa kwa upande wetu sie wadada maana ukisema uringeringe unaweza jikuta unazeekea kwenu but why hii kitu inakuwa ngumu kukuta wote mko real in love.Au ni mie tu kwangu ndo inakuwa vice versa.
Usihangaike sana na mapenzi, angaika sana na hatma yako. Usihangaike sana na ndoa, angaika sana na furaha ya maisha yako. Kwenye ndoa unapata kinoja tu, ambacho ni social respect. Vingine vyote ambavyo vinavyopatikana kwenye ndoa, vinapatikana pia nje ya ndoa. Huna haja ya kuwapa watu nafasi ya kukuchagulia maisha ya kuishi, ishi upendavyo.Ok thanks nilihis may be yanikuta mie tu.
Mpe namba ya tractor.Nilikuambia natafuta mtu.