MEXICANA
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 1,777
- 2,040
habari!Kuhusu madawa ya kulevya kila mtu anajitokeza kuunga mkono jitihada za kupambana na wauzaji na watumiaji.Hivi wale tunaowafahamu kabisa tena wengine walikamatwa abroad wakiwa na madawa ya kulevya na wakanusurika kuuawa,Je wanapojitokeza sahivi tena kwa kasi ya ajabu kuunga mkono hii operation ya makonda wana maana gani? ikumbukwe pia waliofanya hii bussness hata kama ni kipindi cha nyuma wakaacha wanatafutwa.