kama huyu!! unategemea nn cha maana kutaka kwake?mwaka huu mtajamba cheche......maana anavyowakuna mpaka mnapata raha..
ponda yuko sahihi, tatizo mnamshambulia yeye kama yeye badala ya hoja zake. zisikilizeni hoja zake na wekeni ushabiki na upenzi pembeni mtamwelewa tu. bakwata ni taasisi ya ccm na si waislam. na muasisi wake ni yule yule muasisi wa ccm mwl nyerere.
na waislam wameichoka kama cuf na chadema walivyoichoka ccm.
mwaka huu mtajamba cheche......maana anavyowakuna mpaka mnapata raha..
mkuu unaonekana uko vizuri.Ukichunguza kilichotokea Mbagala hivi karibuni ambapo makanisa yalichomwa moto na wahuni waliojiita waislam, unagundua kuwa kumbe kilichosababisha vurugu si kitendo cha mtoto kunajisi Korani bali chuki, ujinga, husuda na kukata tamaa. Kilichotokea Mbagala ambapo watoto wajinga wawili walibishania juu nguvu za imani zao kingetokea Masaki wala hakuna ambaye angepoteza muda.
Hata mahuburi ya kijinga yanayofanywa na watu kama Ponda Issa Ponda huwa hayapenyi Masaki. Mikocheni, Kunduchi na maeneo mengi ya wenye nazo. Hivyo tatizo kubwa tulilokuwa nalo ni kuwa na watu wengi wajinga na maskini waliokata tamaa kiasi cha kuweza kutumia kisingizio chochote kuonyesha hasira zao. Hii huitwa venting kitaalamu ambapo mwenye hasira hutafutia sehemu ya kuzitolea au kuzitapika.
Wenye kusoma na kufahamu dini watanikosoa. Hata kama hicho kilichotokea kingetokea wakati wa mtume Mohammad asingeamuru upuuzi kama ulioshuhudiwa Mbagala. Nani mara hii kasahau jirani yake Mohammad aliyekuwa akijisaidia njiani mwake ili kumuudhi kila kukicha hadi siku alipougua akashindwa kufanya hivyo na Mohammad akamwombea na akapona na kusilimu? Tuhitimishe kwa kusema wazi kuwa vurugu za Mbagala zilivikwa udini lakini ukweli ni vurugu za kijinga na kimaskini.
Mbagala Sheikh Ponda hakuwepo, Bali alikuwepo Chang'ombe kukomboa kiwanja kilichotapeliwa na BAKWATA + MANJIUkichunguza kilichotokea Mbagala hivi karibuni ambapo makanisa yalichomwa moto na wahuni waliojiita waislam, unagundua kuwa kumbe kilichosababisha vurugu si kitendo cha mtoto kunajisi Korani bali chuki, ujinga, husuda na kukata tamaa. Kilichotokea Mbagala ambapo watoto wajinga wawili walibishania juu nguvu za imani zao kingetokea Masaki wala hakuna ambaye angepoteza muda.