Hivi shekh Ponda anwakilisha kundi gani la waislamu?

muislam yeyote ana haki ya kuusimamia uislam na haki zake ktk jamii,naye anafanya hivyo

ndiiiiiiiiyoooooooooooo, na haki hizo ni:
1:kuvunja makanisa na kuiba kila kilichopo.
2: kuua kuku na nguruwe.
3: kuchoma magari ya wasio waislam.
4: kuchoma nyumba za wasiowaislam.
5: kuhakikisha watoto wa kiislam wanaenda madrasa na shule za kawaida.
 
Habari wana jf. Nimekuwa napata shida kumwelewa huyu anayeitwa sheikh ponda, hivi anawakilisha kundi gani la waislamu? Amekuwa akiendesha mapambano dhidi ya BAKWATA, SERIKALI NA SASA WAKRISTO, Yeye ni alqida, al shabab, boko haram au ni nani hasa?. Na kwa nini anaendesha harakati zake bila vyombo vya dola kumchukulia hatua? Naomba kujuzwa kwa wanaomwelewa huyu jamaa.
Anawakilisha kundi la waislam wapenda ubwabwa
 
Uyu ponda anawakilisha kundi la waislam mbumbumbu na maskini wa kipato uliosababishwa na umaskin wa akili,ndomana wanategemea kuomba tu arabuni,waangalie wazanzibar fujo zote kutaka kuvunja miuungano wanaamin waarabu watawatoa kimaisha...fuseke kabsa!
 
anawakilisha Iran. Kumbuka huyu shehe Ponda analipwa kila week na serikali ya Iran. Yaani akiacha kulopoka hovyo tuu hana mshahara. KUmbuka huyu chizi Ponda alikuwa anamtukana Yesu katika msikiti wa mwembe chai kila siku masaa 24.Ni mwenyeji wa kigoma na hana kazi ila kutukana wakristo tuu. Yeyey mwache tuu bado hajaingia mita 18 za wakristo. Hapo ndipo atakapo omba heri milima imwangukie.
 
Habari wana jf. Nimekuwa napata shida kumwelewa huyu anayeitwa sheikh ponda, hivi anawakilisha kundi gani la waislamu? Amekuwa akiendesha mapambano dhidi ya BAKWATA, SERIKALI NA SASA WAKRISTO, Yeye ni alqida, al shabab, boko haram au ni nani hasa?. Na kwa nini anaendesha harakati zake bila vyombo vya dola kumchukulia hatua? Naomba kujuzwa kwa wanaomwelewa huyu jamaa.

........yote ni majibu ! vp unataka kupeleka jina lake kwa Bush. !
 
ni mpenzi wa Simba aliyekubuhu. Kila simba ikishinda yeyey huwa mtu wa amani. Lakini simba ikishindwa tuu basi hukimbilia kutukana wakristo. wewe chunguza samba na mwenendo wa Ponda utagundua tuu kuwa Ponda ni mtu asiye na mwamana kabisaaaa!
 
Uyu ponda anawakilisha kundi la waislam mbumbumbu na maskini wa kipato uliosababishwa na umaskin wa akili,ndomana wanategemea kuomba tu arabuni,waangalie wazanzibar fujo zote kutaka kuvunja miuungano wanaamin waarabu watawatoa kimaisha...fuseke kabsa!

..........mmmmmmmmmmh dharau za Wagalatia ! "wao" na "sisi" !
wao ni bora ! sisi ni hovyo !
unachokipanda sijui kama utaweza kukivuna na kukila !
 
Habari wana jf. Nimekuwa napata shida kumwelewa huyu anayeitwa sheikh ponda, hivi anawakilisha kundi gani la waislamu? Amekuwa akiendesha mapambano dhidi ya BAKWATA, SERIKALI NA SASA WAKRISTO, Yeye ni alqida, al shabab, boko haram au ni nani hasa?. Na kwa nini anaendesha harakati zake bila vyombo vya dola kumchukulia hatua? Naomba kujuzwa kwa wanaomwelewa huyu jamaa.

ukijua itakusaidia nini? Fata yako wewe usilolijua hupaswi kulijua
 
anawakilisha Iran. Kumbuka huyu shehe Ponda analipwa kila week na serikali ya Iran. Yaani akiacha kulopoka hovyo tuu hana mshahara. KUmbuka huyu chizi Ponda alikuwa anamtukana Yesu katika msikiti wa mwembe chai kila siku masaa 24.Ni mwenyeji wa kigoma na hana kazi ila kutukana wakristo tuu. Yeyey mwache tuu bado hajaingia mita 18 za wakristo. Hapo ndipo atakapo omba heri milima imwangukie.

acha vitisho vya kitoto sasa mguseni muone mziki wake kama ffu watauweza.
 
Ukichunguza kilichotokea Mbagala hivi karibuni ambapo makanisa yalichomwa moto na wahuni waliojiita waislam, unagundua kuwa kumbe kilichosababisha vurugu si kitendo cha mtoto kunajisi Korani bali chuki, ujinga, husuda na kukata tamaa. Kilichotokea Mbagala ambapo watoto wajinga wawili walibishania juu nguvu za imani zao kingetokea Masaki wala hakuna ambaye angepoteza muda.

Hata mahuburi ya kijinga yanayofanywa na watu kama Ponda Issa Ponda huwa hayapenyi Masaki. Mikocheni, Kunduchi na maeneo mengi ya wenye nazo. Hivyo tatizo kubwa tulilokuwa nalo ni kuwa na watu wengi wajinga na maskini waliokata tamaa kiasi cha kuweza kutumia kisingizio chochote kuonyesha hasira zao. Hii huitwa venting kitaalamu ambapo mwenye hasira hutafutia sehemu ya kuzitolea au kuzitapika.

Wenye kusoma na kufahamu dini watanikosoa. Hata kama hicho kilichotokea kingetokea wakati wa mtume Mohammad asingeamuru upuuzi kama ulioshuhudiwa Mbagala. Nani mara hii kasahau jirani yake Mohammad aliyekuwa akijisaidia njiani mwake ili kumuudhi kila kukicha hadi siku alipougua akashindwa kufanya hivyo na Mohammad akamwombea na akapona na kusilimu? Tuhitimishe kwa kusema wazi kuwa vurugu za Mbagala zilivikwa udini lakini ukweli ni vurugu za kijinga na kimaskini.
alikuwa anajisaidia mlangoni kwa Muhammad(s a w) na sio njiani, pia mbona kuna mifano mingi tu, sijui waislamu hawaisomi?kumbuka alichofanyiwa mtume katika mji wa twaif, alipigwa mno na watu wa pale lakini bado aliwaombea dua na Mungu aliipokea na kuwabariki watu hao wa twaifu......waislamu tuache jazba maana muhammad anasema mwenye nguvu kuliko wote ni yule anaeweza kuzikabili jazba na hasira zake zisimuendeshe
 
Habari wana jf. Nimekuwa napata shida kumwelewa huyu anayeitwa sheikh ponda, hivi anawakilisha kundi gani la waislamu? Amekuwa akiendesha mapambano dhidi ya BAKWATA, SERIKALI NA SASA WAKRISTO, Yeye ni alqida, al shabab, boko haram au ni nani hasa?. Na kwa nini anaendesha harakati zake bila vyombo vya dola kumchukulia hatua? Naomba kujuzwa kwa wanaomwelewa huyu jamaa.

Mpuuzi fulani mtumishi wa shetani. na malaika zake
 
Anawakilisha kundi la hao wajinga hapo chini ambao wanataka kubaki kwenye ujinga. Kwao shule haina umuhimu .Naona wanataka wafanye kama alivyofanya mudi...kuvibaka na kuvioa visichana vidogovidogo....
[h=1]Pakistani teen shot by Taliban becomes 'daughter of the nation'[/h]
The Pakistani teen who has become a symbol of hope and defiance since Taliban thugs shot her in the head for advocating education for girls touched down in the United Kingdom Monday, where doctors will rebuild her shattered skull.

Malala Yousufzai, 14, who was shot in the head Oct. 9, left Pakistan Monday morning in a specially-equipped air ambulance provided by the United Arab Emirates after doctors in her homeland managed to remove a bullet from her head. She faces more delicate operations and intensive rehabilitation, but may be buoyed by the knowledge that millions in Pakistan and around the world have embraced her as a heroine and martyr. The shooting of Malala and two of her classmates as they returned home from school prompted tens of thousands to rally in support of her in Karachi Sunday. Some Pakistanis have expressed hope that the government would respond to the attack by intensifying its fight against the Taliban and their allies.

"This shooting sends a chilling effect to anyone. If they [the Taliban] can shoot a young girl, then anyone can be a target," T. Kumar, director of International Advocacy for Amnesty International USA, told FoxNews.com.
 
Back
Top Bottom