Sababu amemzidi akili na maarifa kwa kiwango cha kutisha. Kwa hili lazima amchukie. Hata Yohana Mbatizaji alichukiwa na Herode kwa sababu ya kusimama kwenye haki/kusema ukweli/ kutetea ukweli.Kwakweli kama kuna anayeju jibu ya hili swali atusaidie. Huyu Samia, Lissu alimkosea nini?
Kiukweli kabisa katika mambo yanayokufanya uendelee kujiandikia historia ya doa jeusi ni hii ya kumfunga lissu bila sababu.
Mbona una roho nzito kuliko hata watangulizi wako wa jinsia ya kiume? Washauri wako wanakuangamiza na wanacheka namna unavyoharibikiwa.
Tabia ya kisasi inakaa kwa watu wenye akili ndogoKwakweli kama kuna anayeju jibu ya hili swali atusaidie. Huyu Samia, Lissu alimkosea nini?
Kiukweli kabisa katika mambo yanayokufanya uendelee kujiandikia historia ya doa jeusi ni hii ya kumfunga lissu bila sababu.
Mbona una roho nzito kuliko hata watangulizi wako wa jinsia ya kiume? Washauri wako wanakuangamiza na wanacheka namna unavyoharibikiwa.
Kiuhalisia 'kijiposho changu' ni fedha zake au ni fedha za Serikali?..Mama Abduli ana machungu na hasira na TL kwasababu alipokutana naye Ubelgiji alimsaidia kwa fedha, Mama anadai ilikuwa posho yake ya safari, sasa badala ya TL kuwa na shukrani akaanza kumkosoa.
Kiuhalisia 'kijiposho changu' ni fedha zake au ni fedha za Serikali?
Samia alikosea sana kumpa Lissu hiyo posho kwa madai yako yasiyothibitishwa na najua ni uongo wa kisiasa.
Stahiki za Lissu zilizuiwa na Magufuli akimshinikiza Ndugai aliyedhani atadumu milele na Lissu afe kwa kukosa huduma na malipo ya hospital.
Ila mnajua kukwepesha ukweli na kutunga uongo.
UMENENA VYEMA mkuu, Lissu namfananisha sana Patrice Lumumba.., yan ni copy yake kabisa, kwake nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe hakuna udhurungiUlichosahau, Lissu ni tishio kwa matajiri wote tycoons wa nchi hii waliomzunguka Samia, akina Rostam na team "Wahuni" by late Polepole.
Lissu ni mkweli kupitiliza, jambo linalomgharimu na litaendelea kumtesa maisha yake yote.
Watu smart aina ya Lissu hapa Africa lazima wafe au wahamie nchi zingine. Au raia walipuke nchi nzima kumtetea au jeshi liseme enough is enough libebe vyuma mtaani hadi Ikulu.
Rejea Tom Mboya Kenya, Patrice Lumumba, nk
Mkuu mi nimekaa Ikulu, ingawa si hii ya Magogoni, mambo mengi nayafahamu kuhusu hao 'viumbe'...Ni fedha yake kwasababu ni malipo aliyoyapata kwa ajira yake ya Uraisi.
Kikwete.....ndio mbaya wa TL....period !! Mshauri bi kidude ni JK ameshamtisha sanaaaa.....kuhusu TL na ramli ya Sheikh Hussein imamlaza nje bi kidude kila sikukurogaaasKwakweli kama kuna anayeju jibu ya hili swali atusaidie. Huyu Samia, Lissu alimkosea nini?
Kiukweli kabisa katika mambo yanayokufanya uendelee kujiandikia historia ya doa jeusi ni hii ya kumfunga lissu bila sababu.
Mbona una roho nzito kuliko hata watangulizi wako wa jinsia ya kiume? Washauri wako wanakuangamiza na wanacheka namna unavyoharibikiwa.
Ni roho mbaya tu wala sio washauri wake anataka kutuonyesha kuwa tutamfanya nini.Kwakweli kama kuna anayeju jibu ya hili swali atusaidie. Huyu Samia, Lissu alimkosea nini?
Kiukweli kabisa katika mambo yanayokufanya uendelee kujiandikia historia ya doa jeusi ni hii ya kumfunga lissu bila sababu.
Mbona una roho nzito kuliko hata watangulizi wako wa jinsia ya kiume? Washauri wako wanakuangamiza na wanacheka namna unavyoharibikiwa.
Lissu analo kosa kubwa sana na lisilosameheka la kutaka kuwa rais, sasa yeye akiwa rais anadhani yule bibi ile minyonyo ataipeleka wapi? Hata ving'asti vyake vitamkimbia mazima.Kwakweli kama kuna anayeju jibu ya hili swali atusaidie. Huyu Samia, Lissu alimkosea nini?
Kiukweli kabisa katika mambo yanayokufanya uendelee kujiandikia historia ya doa jeusi ni hii ya kumfunga lissu bila sababu.
Mbona una roho nzito kuliko hata watangulizi wako wa jinsia ya kiume? Washauri wako wanakuangamiza na wanacheka namna unavyoharibikiwa.
Kikwete.....ndio mbaya wa TL....period !! Mshauri bi kidude ni JK ameshamtisha sanaaaa.....kuhusu TL na ramli ya Sheikh Hussein imamlaza nje bi kidude kila sikukurogaaas
Cha kufanya kwa machawa mnakijuaSamia alikosea sana kumpa Lissu hiyo posho kwa madai yako yasiyothibitishwa na najua ni uongo wa kisiasa.
Stahiki za Lissu zilizuiwa na Magufuli akimshinikiza Ndugai aliyedhani atadumu milele na Lissu afe kwa kukosa huduma na malipo ya hospital.
Ila mnajua kukwepesha ukweli na kutunga uongo.