Hivi Samia, Lissu amekukosea nini?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,466
Reaction score
42,591
Kwa kweli kama kuna anayejua jibu ya hili swali atusaidie. Huyu Samia, Lissu alimkosea nini?

Kiukweli kabisa katika mambo yanayokufanya uendelee kujiandikia historia ya doa jeusi ni hii ya kumfunga Lissu bila sababu.

Mbona una roho nzito kuliko hata watangulizi wako wa jinsia ya kiume? Washauri wako wanakuangamiza na wanacheka namna unavyoharibikiwa.
 
Sio ana roho mzito,Bali ana roho mbaya sana
 
Lissu anapiga kwenye MSHONO so ukipata kiongozi ambaye si mvumilivu unaweza kufikia hatua kama ile iliyofanyika Sept 7 Dodoma.
 
Udini unamsumbua ...Zitto alileta vurugu kule Kigoma baada yakupigwa chini na Baba Levo ..alikamatwa dakika mbili tu akaachiwa , lssa Ponda kwa mara kadhaa amemushambulia ndugu Samia ila hakuna siku moja akakamatwa...jiulize Gwajima au Father Kitima nini kikawapata.Akimuona Mh Lissu kwasasa anatamani amunyongetu....nimuovu moja kutoka upande kule anampenda..kamanda feki aka DJ zero.
 
Ulichosahau, Lissu ni tishio kwa matajiri wote tycoons wa nchi hii waliomzunguka Samia, akina Rostam na team "Wahuni" by late Polepole.
Lissu ni mkweli kupitiliza, jambo linalomgharimu na litaendelea kumtesa maisha yake yote.

Watu smart aina ya Lissu hapa Africa lazima wafe au wahamie nchi zingine. Au raia walipuke nchi nzima kumtetea au jeshi liseme enough is enough libebe vyuma mtaani hadi Ikulu.

Rejea Tom Mboya Kenya, Patrice Lumumba, nk
 
Nakubaliana nawewe Mkuu.
 
..Mama Abduli ana machungu na hasira na TL kwasababu alipokutana naye Ubelgiji alimsaidia kwa fedha, Mama anadai ilikuwa posho yake ya safari, sasa badala ya TL kuwa na shukrani akaanza kumkosoa.
 
Attachments

  • IMG_20251125_105045_860.jpg
    62.9 KB · Views: 21
..Mama Abduli ana machungu na hasira na TL kwasababu alipokutana naye Ubelgiji alimsaidia kwa fedha, Mama anadai ilikuwa posho yake ya safari, sasa badala ya TL kuwa na shukrani akaanza kumkosoa.
Lissu alikua msitari wa mbele kwenye mapinduzi ya TEC,winga ya kulia akina Maria sarungi,mange, Hilda Newton etc,winga ya kushoto polepole,kocha TEC,warioba,Dr taahira wa Moshi
 
Attachments

  • IMG_20251125_105045_860.jpg
    62.9 KB · Views: 16
  • IMG_20251120_200549.jpg
    116.6 KB · Views: 15
..Mama Abduli ana machungu na hasira na TL kwasababu alipokutana naye Ubelgiji alimsaidia kwa fedha, Mama anadai ilikuwa posho yake ya safari, sasa badala ya TL kuwa na shukrani akaanza kumkosoa.
Samia alikosea sana kumpa Lissu hiyo posho kwa madai yako yasiyothibitishwa na najua ni uongo wa kisiasa.

Stahiki za Lissu zilizuiwa na Magufuli akimshinikiza Ndugai aliyedhani atadumu milele na Lissu afe kwa kukosa huduma na malipo ya hospital.

Ila mnajua kukwepesha ukweli na kutunga uongo.
 
Lissu alikua msitari wa mbele kwenye mapinduzi ya TEC,winga ya kulia akina Maria sarungi,mange, Hilda Newton etc,winga ya kushoto polepole,kocha TEC,warioba,Dr taahira wa Moshi

..hii sio sawa.

..hamumtendei haki na mnaudharaulisha Mama Abduli.

..hivi mnataka kusema Dada Mange, au Dada Maria, wana akili na ushawishi kuliko Mama Abduli, ndio maana wananchi waliwasikiliza na wakaandamana na kuharibu mali?
 
Shida anayeshawishiwa akili zake zikoje halafu ongeza na viongozi wa dini kwenye hiyo orodha
 
Akimtoa huyo mtaandamana bora aendelee kumshikilia
 
Kiukweli kabisa katika mambo yanayokufanya uendelee kujiandikia historia ya doa jeusi ni hii ya kumfunga lissu bila sababu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…