Hivi Rwanda wana maendeleo yapi kwa mfano? Unajua vitu vingine vinachekesha mno jamani

We jamaa unaishi ndotoni sana.. Tanzania imuhitaji Rwanda kwa kipi? Kila siku mnafurushwa kwenye mapori ya Tanzania mnamofugia ng'ombe kinyume na sheria.. Mna bahati kipindi cha Kikwete alipata washauri wazuri alikua awatafune mchana kweupe maana tayari zana nzito za kivita tayari zilikua zimesogezwa Benaco tayari kuiteka Kigali Amiri Jeshi Mkuu akitoa amri..

Sawa.
 
Wewe sio mtanzania 1000%, wewe ni "Limkimbizi" kutoka Rwanda unaeishi ng'ambo huku ukiwa na stress kali za yaliyotokea 1994. Kwa kiswahili chako nasema tena wewe sio mtanzania mzee, wewe kapambane na nchi yako.

Mutakula
Mtakula

Mufananishe
Mfananishe

Mumeachwa
Mmeachwa

Musijifananishe
Msijifananishe

Mpaka hapo wewe ni mkimbizi uliopo kwenye makambi ya Kigoma au kagera ukila vumbi na unga wa Yanga.

Hivi wewe una akili kweli ???? Unasema Tanzania hatupendi mabadiriko??? Rwanda mna raisi Ana zaidi ya miaka 12 madarakani kinyume na katiba yenu ilivyokuwa inasema, kati ya sisi na nyie wakina nani ni mizoga???

Mwisho Tunaomba mjitoe hata jamii forum watutsi wote mkaanzishe Forum yenu maana this is Tanzanian Owned Forum.
Huyo ni Mkenya bob atakuumiza kichwa..
 
IMG_6337.JPG
PROUDLY RWANDESE.
 
Lakini message imefika hahahahahaha
 
Hata kuzidiwa tu ' akili ' na mwenzako pia ni Maendeleo makubwa. Kama Wewe ulipigana Vita mwaka 1978 na mpaka leo bado tu unapiga ' mark time ' katika Maendeleo lakini mwenzako aliyekuwa katika ' Genocide ' mwaka 1994 lakini leo hii nchi yake inakimbia kwa kupata Maendeleo huku ikisifiwa hadi na IMF na WB huku wakijikita zaidi katika Technological Advancement na Kukubalika zaidi na waliotutangulia ' Kiakili ' huko Ulaya na Marekani hayo siyo Maendeleo? Tena kuwa makini sana na Kuiongelea au Kuichokonoa Rwanda. Namalizia kwa Kukuasa tena kuwa iache Rwanda kama ilivyo na ' Maslahi ' ya Rwanda na Ustawi wake yatatetewa na kupiganiwa kwa gharama yoyote ile na wale Maadui zake na Wanafiki kadhaa walioko katika Kanda yetu.

Tumewavumilieni sasa tumechoka!
Maendeleo yapi wewe mkimbizi? Umeambiwa ni 20% tu wamefikiwa na umeme, pia Kigali ndo imejengeka ukitoka nje ya Kigali ni umasikini mtu kilimo cha kusita sita
 
hahaaa we jamaa wewe!! kwa hiyo umempiga mtu mkwara..!!
 
Wewe sio mtanzania 1000%, wewe ni "Limkimbizi" kutoka Rwanda unaeishi ng'ambo huku ukiwa na stress kali za yaliyotokea 1994. Kwa kiswahili chako nasema tena wewe sio mtanzania mzee, wewe kapambane na nchi yako.

Mutakula
Mtakula

Mufananishe
Mfananishe

Mumeachwa
Mmeachwa

Musijifananishe
Msijifananishe

Mpaka hapo wewe ni mkimbizi uliopo kwenye makambi ya Kigoma au kagera ukila vumbi na unga wa Yanga.

Hivi wewe una akili kweli ???? Unasema Tanzania hatupendi mabadiriko??? Rwanda mna raisi Ana zaidi ya miaka 12 madarakani kinyume na katiba yenu ilivyokuwa inasema, kati ya sisi na nyie wakina nani ni mizoga???

Mwisho Tunaomba mjitoe hata jamii forum watutsi wote mkaanzishe Forum yenu maana this is Tanzanian Owned Forum.
Acheni povu, ndio ivyo tena imeshakua, ata mkikasirika haiwasaidiii , miroho mbaya, kazi kukandamiza wananchi na upinzani, povu povu povu, endeleeni kulialia kitaa na viwanda vyenu
 
Muzungu ndo husema hivyo kwamba Rwanda ni model ya Afrika, basi labda Muzungu hutudanganya!
muzungu anatabia moja hivi,akitaka kitu flani kutoka kwako atakupa misifa kedekede,anakujaza upepo na wewe ukishapata bichwa,na yeye ndo anapata anachotaka..!!muzungu mujanja sana!!
 
Maendeleo yapi wewe mkimbizi? Umeambiwa ni 20% tu wamefikiwa na umeme, pia Kigali ndo imejengeka ukitoka nje ya Kigali ni umasikini mtu kilimo cha kusita sita

Alikaa siku 9 halafu et 20% khaa mswahili ni nyumbu sana Rwanda sehem kubwa raia wanatumia umeme wa solar kuna mradi mkubwa wa solar ndio mkubwa africa mashariki unawasha karibia nyumba zote vijijin jua mpaka mwaka 2018 Rwanda hakuna nyumba za nyasi aliekaa siku tisa alete ushaid kama naawma uongo.Rwanda iko mbali sana kwa Tz ingawa Tz ina kila kitu lakin raia wanashea maji na wanyama Rwanda ndio nchi yenye mji msafi Africa mashariki kati na kusini ukitoa capetown.PROUDLY RWANDESE
 
WABONGO MUSIJIFANANISHE NA RWANDA, MUMEACHWA MBALI TENA MBALI, ENDELEENI KUJIFARIJI, NDIO MAANA SISI WENGINE TUKASEPA ZETU TUKO TUNATAFUNA DOLA HUKU, MIROHO MBAYA, MIWANANCHI IMEKAAKAMAMA MAZOMBI HAYATAKI MABADILIKO, dadekiii mutakula mpaka majani kama mbuzi, ukweli mchungu ndio maana inawauma mpaka kuitajataja Rwanda JF na kutokana na roho mbaya zenu munatamani Rwanda iwe mikononi mwenu, Kenya, Rwanda hizo ni habari nyingine, endeleeni kutatua tatizo la sukari na mafuta kwanza baadaae ndio mfananishe na nchi Kama Rwanda na Kenya
wewe sio mtanzania!!kiswahili chako tu kinaonekana..
 
Tayari ushaipa attention kitendo tu cha kuitaja halafu Rwanda kwenye hawaijui hata Tz yenyewe na huwezi skia wanaijadili sababu wanaijua ni nchi ina kila kitu ila nyumbu ndio wengi.
Hahahah tuliwahi kupita Kibungo kipindi flani Wanyarwanda walikua wanaitana kutoka ndani unasikia "maama/pappa ngwino urabe abatzed" so unachokisema hapa ni kinyume na uhalisia..
 
mkuu maana yake nini??
 
Back
Top Bottom